Imekuaje tena ???
Sioni bado the relationship ya thread - Gosssssssh!!!- na kunimiss kumingiliana vipi...
Soma alama za nyakati mamiiii
Kwani ukicheza mdako au rede na Mzee inamaana kabadili jinsia??
Haya bana naona nimekosea step toka huko nyuma... na delete majibu yalopita na kutoa mapya....
Gosssssssh!!! - ooh CPU naona umeshangaa saaana, is it a good kushangaa or a bad kushangaa
na kunimiss - Miss you CPU, I have been looking for you every where... Lizzy hakukupa message yangu??
Anyway
Sijaamua kuongelea topic maana nimeusoma naona ni ujumbe au maono ya kimaisha.
Nimeamua tu kui-copy na kui-save kwenye laptop.
Siku nikishikwa na stress, naifunua kuisoma.
i
Nafurahi kua itakufaa hasa ukiwa na stress... hakikisha tu ina anti-virus ya kutosha maana we don't want such important documents kuharibiwa... About the message naona tu Partner atakua alipotezea maana haikuwa muhimu mana ilikua salaam tu...
Yaani wewe kijana wewee kweli you like tying me up....:doh: Ni muhimu ndio, basi yaishe...
Yaani pamoja na usumbufu wote huu bado hujajua kwamba nakupenda???
:smile:I know you are more in love with the idea of Asha D than Asha D herself... Mtu ambae kweli anampenda mtu kwa dhati hua humuacha free kwanza mpaka aamue mwenyewe... If you love something set it YOURS ....
JT/GT Nawatakia siku njema/na zijazo PLUS Maisha bora yenye upendo
Code:JT/GT Nawatakia siku njema/na zijazo PLUS Maisha bora yenye upendo
lovely.........................................inspirational..................................................................encouraging...........................
Live life fully while you're here. Experience everything. Take care of yourself and your friends. Have fun, be crazy, be weird. Go out and screw up! You're going to anyway, so you might as well enjoy the process. Take the opportunity to learn from your mistakes: find the cause of your problem and eliminate it. Don't try to be perfect; just be an excellent example of being human.Look at everything as though you were seeing it either for the first or last time.