Live: Zitto Kabwe na Diva at Clouds FM

mmmhhh lazima hapo jombaaa aaaaaaaaaaaaaaa..... :shock: 😕
 
tuhabarishe hata kwa ufupi yaliyojadiliwa kwani mimi sikuweza kuwasikiliza
 
Hii anaenda kusafisha ile aliyochemsha mara ya kwanza au?
 
alikuwa anafanya promo watu msikilize wafuuu fm....
 
Umbea tu huo, wewe ukikutana na mtu nani anakusema?? acha hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…