Liverpool defeat - Siri Kubwa Yafichuka

Liverpool defeat - Siri Kubwa Yafichuka

Saikosisi

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2007
Posts
528
Reaction score
34
Kufungwa kwa Liverpool kumbe haikuwa bure ...

Check sababu waliyokuja nayo ...

2892_156290300626_741580626_6515164_7351918_s.jpg
 
PSYCHOSIS means abnormal condition of the mind
( loss of contact with reality)
 
Ila hilo ground lafanana sana na pale Vingunguti pa zamani..aka OLD Trafold
 
Ila hilo ground lafanana sana na pale Vingunguti pa zamani..aka OLD Trafold
Hilo la Anfield hilo, ndivyo walivyokuwa wanaliona wakina Gerrald siku hiyo, sijui ni kizunguzungu au ndio maumivu ya kichwa! Hahhhaaa hhaaaaa.
 
saikosis unatusakama sana sisi wa bwawa la maini, matokeo ya ligi umeyaona? DOZI YETU NI 4X4
 
saikosis unatusakama sana sisi wa bwawa la maini, matokeo ya ligi umeyaona? DOZI YETU NI 4X4

Nimeyaona, hayana maana sana kwa sasa kwani Man Utd wako mbele/juu kwa point moja, na game mkononi. Lol ...
 
Nimeyaona, hayana maana sana kwa sasa kwani Man Utd wako mbele kwa point moja, na game mkononi. Lol ...

Yah Sure, Manure wako mbele na chupi mkononi wakati mindume inapumulia sikioni.... you got it right!!!
 
Yah Sure, Manure wako mbele na chupi mkononi wakati mindume inapumulia sikioni.... you got it right!!!

Sema kidume kipo mbele na Condom mkononi wakati majike yamejipanga yanasuburia kupewa dose kwa nafasi zao..hope u got it too!!
 
Sema kidume kipo mbele na Condom mkononi wakati majike yamejipanga yanasuburia kupewa dose kwa nafasi zao..hope u got it too!!

LOL!!!!

Mzee umeua kizaramo aisee... Lakini hilo dume gani la kupanga mtungo? mi najua mabibi ndio hupata mtungo!!

What if ni bibi mbele bwana nyuma - mambo ya kumbi kumbi?
 
LOL!!!!

Mzee umeua kizaramo aisee... Lakini hilo dume gani la kupanga mtungo? mi najua mabibi ndio hupata mtungo!!

What if ni bibi mbele bwana nyuma - mambo ya kumbi kumbi?
Nahau ...
 
Back
Top Bottom