Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861

Full name: Liverpool Football Club

Nickname(s): The Reds

Founded: 3 June 1892

League: Premier League

Website: LiverpoolFC.com



Ground: Anfield, (Capacity: 61,276) - Pitch 105m x 68m



Principal Owner: John W. Henry


Chairman: Tom Werner


Manager: Arne Slot
Liverpool Trophies:
League Tittles: 19

Premier League Champions: 19 (1900/01, 1905/06, 1921/22, 1922/23, 1946/47, 1963/64, 1965/66, 1972/73, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1985/86, 1987/88, 1989/90, 2019/2020)

European Trophies: 12
UEFA Champions League: 6 (1976/77, 1977/78, 1980/81, 1983/84, 2004/05, 2018/19)
UEFA Europa League: 3 (1972/73, 1975/76, 2000/01)
UEFA Super Cup: 4 (1977, 2001, 2005, 2019)

FIFA Club World Cup: 1 (2019)

FA Cup Trophies: 8 (1965, 1974, 1986, 1989, 1992, 2001, 2006, 2022)

League Cup: 9 (1980/81, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1994/95, 2000/01, 2002/03, 2011/12, 2021/22)

Community Shield: 16
FA Community Shield: 2 (2001, 2006)
FA Charity Cup: 13 (1964, 1965, 1966, 1974, 1976, 1977, 1979, 1980, 1982, 1986, 1988, 1989, 1990)
Sheriff of London Charity Shield: 1 (1906)

Other Trophies:
Second Division: 4 (1893/94, 1895/96, 1904/05, 1961/62)
Lancashire League: 1 (1892/93)
Football League Super Cup: 1 (1985–86)


Liverpool Football Club celebrate as they Crowned Champions League Winners (2019/2020)


Liverpool Football Club celebrate as they Crowned EPL Winners (2018/19)


Liverpool Premier League Timetable of 2024/25
Follow this thread for team updates!
 

Attachments

  • Liverpool Logo.png
    13.5 KB · Views: 2,168
  • Anfield.jpg
    25.6 KB · Views: 1,987
  • klop.jpg
    5.2 KB · Views: 2,188
  • Liverpool.jpeg
    114.5 KB · Views: 80
Last edited by a moderator:
Mbu,

Unajua sisi wapenzi wa Bwawa la Maini sio 'viredio' kama wapenzi wa timu chovu maarufu tatu. Kwa hiyo tupo na tunaserebuka na kujiandaa na ubingwa hapo May.

Haya kila la heri lakini bado mna safari ngumu maana jana nilijua mnazoa kapu la magoli toka kwa stoke lakini wapi mkahangaika nao na hatimaye kugawana point na timu iliyo karibu na mkiani. Mkiendelea kujikanyagakanyaga namna hii basi lolote linaweza kutokea na kuishia nafasi ya pili au hata ya tatu. Najua leo mtasali sana ili MANU na Chelsea watoke draw.
 

Unajua kila timu ina mlima wake. Stoke ni mlima wa Liverpool. Liverpool wanashindwa kumatch physical game ya Stoke. Na hiyo ndio imefanya wachemshe gemu zote mbili.

Lakini hakijaaribika kitu, gemu ya Manu na Chelsea inanukia droo ile mbaya. Kwa hiyo, at the end of the day, bado tutakuwa pointi 3 mbele.
 

Haya kila la heri mimi nasubiri kwa hamu hiyo game ya MANU na Chelsea. I hope itakuwa na ushindani wa hali ya juu na soka la uhakika litaonyeshwa na timu zote mbili na referee hawataibeba timu yoyote ile kwa kutoa kadi nyekundu zisizostahili au penalty.
 
Hatimaye wamejikumbuka...😀

...Mpaka uwalazimishe hawa waseme, yaaani waoga waoga mpaka nawahurumia, hawajiaminiiiiii....

walikuwa na midomo sana miaka ile ya kina John Barnes, Keevin Keegan, Dalgish na wengineo,....lakini kidogo kidogo enzi za kina Fowler, Owen wakaanza kunywea... leo hii wanaongoza ligi bado kimyaaaaaaaaaaaaa

Hapa kidoooogo QM anajitutumua, wengine wam-beep Michuzi naye aje humu kutetea bwawa lao la maini, linaelekea kukauka!
 
Hawajiamini unaona hata kocha wao kaanza kuchanganyikiwa


...I bet its you Mr Benitez being Nervous, ha ha ha haaaaa... QM upo???? Man U wanakuja hao,... wot a gud week for the Gunners and Red Devils...

MIND THE GAP!!!!
 
...I bet its you Mr Benitez being Nervous, ha ha ha haaaaa... QM upo???? Man U wanakuja hao,... wot a gud week for the Gunners and Red Devils...

MIND THE GAP!!!!

Unajua hawa jamaa wamepoteza uzoefu wa kuongoza ligi (let alone kuchukua kombe).....sasa sijui na hii presha ya Man Rafa atasemaje.
 
Kwanza Hongerine wapenzi wa Bwawa La Maini kwa kuwa na thread yenu.!

Then the rest of stories tutakuja kuonana tu next time!, fate will tell...

Manda-Manutd
 
Kosa KUBWA Benitez aliyofanya ni kuanzisha vita Maneno na SAF..Kwa wanaojua historia ya Babu ni mashahidi pia... ni Mourihno tu at least alimuweza...Guyz forget about the title..yes i mean the title..Benitez kawasha moto ambao kamwe hatoweza kuuzima!

One Love One United..
 
Benitez kachelewa kuanza kupiga kelele tangu aje alikaa kimya kaona anaongoza ligi then anaanza kulalamika mwenzie Mourinho alianza kupiga domo kabla hata hajaongia Chelsea
Moto ndio umewashwa mjiandae kutupisha nafasi yetu
 
...eti Benitez kwakuwa Liverpool wapo kileleni sasa anatikisa kiberiti, kitamlipukia!!!!

 
Jamaa kaona maji ya shingo sasa anataka kukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…