Kumbe tatizo siyo Webb, ila your team has more prblms than that. Mm lawama zangu zooote kwa Bneitez, for sure, he spoiled ur team.
Leo naona wamejikomboa jampo mpaka kufika kwenye 10 bora japo kwa muda
Wamemchapa mtu 3:0 Torres 36,90+1 min and Meireles 50min Hongereni
Msishangae wakija kucheza eufa mwisho wa msimu
Liver 1 - fulham 0
Duh azavali tumetoka kidedea
walau sasa bia inanyweka!!! nafasi ya saba sii mchezo......