Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama kawaida yenu.... mnakamia mechi na top four teams lakini mnafungwa kama mmesimama na watoto wadogo lol!!..
Mwakani mnaweza msicheze ata Europa.
 
Hakuna team inayokamia mechi kama ManU na Arsenal!! Halafu hivi vitimu vidogo vinaikamia Liver kinoma. Ukitaka kuamini sikiliza comments za makocha wao baada ya mechi na Liver.
 
Namtafuta mkuda moja hivi chijui kakimbilia wapi .... ..... ..... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
huyu wacha1 kanikamata kweli mwaka huu

kanikamata kama torres,
kanikamata kama manure na arses
kanikama kama wenger na fungus-on
kanikamata kama carrol na torres
 
Namtafuta mkuda moja hivi chijui kakimbilia wapi .... ..... ..... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Namtafuta mkuda moja hivi chijui kakimbilia wapi .... ..... ..... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
huyu wacha1 kanikamata kweli mwaka huu

kanikamata kama torres,
kanikamata kama manure na arses
kanikama kama wenger na fungus-on
kanikamata kama carrol na torres

Aisee naona leo mnamwaga radhi hapo nyumbani .. .... .... ... hongereni sana LF 3 - 0 Mancs .... ..... .. halftime kumbe anayewaharibia mpira ni Gero na yule mliyepata faida naye Tor the res, imekula kwa mafioso chesick.
 
yeah... naona mmeuzwa
 
yeah... naona mmeuzwa

Hatujauzwa mkuu ni mabadiliko kidogo kutokana na ugonjwa wa shareholder, then Nina aliisha sema tangu last year kwamba anataka mpunga kwa hiyo Stan ili kutokuharibu mipango ya maendeleo pale na wakati yeye ndiye majority share holder wamekubaliana achukue ili mafioso wasiingie kwa mkono wa fisi. Its not a surprise ilishapangwa tangu kitambo hiyo tupo pale pale tu mkuu. Vile vile kukidhi mahitaji ya Financial reg za UK.

Chacha njomba hiyo Avatar vipi Tor the res anauzwa na Abraham according to datas za ndani .... .... ingawaje peasant's wakiingia hapa watakanusha. Asipocheza wala kufunga kesho muhurumie tu na uiondoe.
 
Nasikia Tor the res alikuwa analia peke yake leo ..... ...... ..
 
Nasikia Tor the res alikuwa analia peke yake leo ..... ...... ..
Mkuu Wacha1, kwa heshima naomba nikupe 'kazi' moja tafadhali! Wenzangu wa nyumba hii siku hizi tukipata msiba wanatoroka hawaonekani kabisa!! Sijui wanamwogopa bundi??? Sasa nakuomba popote utakapowaona uwapigie kelele na kuwakurupusha warudi home. Asante in advance!!
 
Kama kawaida yenu.... mnakamia mechi na top four teams lakini mnafungwa kama mmesimama na watoto wadogo lol!!..
Mwakani mnaweza msicheze ata Europa.
ni kweli lakini this year tulishagive-up ... the focus ni kwa mwakani ndio maana unaona hata digidigi wanacheza
 
Nasikia Tor the res alikuwa analia peke yake leo ..... ...... ..

Yaani tunashukuru sana chesi, wametupa pesa za kununua wachezaji wazuri sana... Fernando would ratehr go to Italy or back to spain, maana EPL hawana subira
 
Kweli mkuu, naona sijui na mfumo wao unamchanganya? Maana na jitihada zote anazofanya utadhani siyo yeye.
 
Hiyo haihitaji kujitahidi. Mwakani iko wazi kuwa tutawatembezea vichapo hadi mshangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…