Mkuu usikonde! Mimi naamini huyu kocha akipewa fungu la kuisuka hii timu vizuri, Msimu ujao hatutashikika kabisa. Heshima ya Liver itakuwepo tuu. Kama na hii defence ya leo tumewazuia jamaa wa magobore, si haba.Ingawa tunampa MANU ubingwa lakini ni lazima kutunza heshima
Sure mkuu, baada ya purukushani za umiliki wa timu kuisha, kuanzia msimu ujao itakuwa mwendo mdundo.Yaelekea msimu huu ManU wanachukua la 19, labda kuwe na collapse ya ajabu isiyotegemewa. Nasi Liverpool msimu ujao tutachukua la 19.
If LIverpool wakimpa Daglish 2 years, basi tutafanya vizuri msimu ujaoJamani Liverpool msimu ujao mjitahidi au siyo MTM..droo haikuwa mbaya jana mana mngelilia kichapo!!
mkuu tupo ila kwa ile quality ya vile vitoto vya ressies... I am speechlesskhaaa hawa wenzangu wa nyumba hii wako wapi?! Vijana wanakandamiza huko lkn wazee mmeuchuna kama vile tumefungwa... Hii kali kwa kweli!!