Mkicheza hivi mpaka mwisho wa msimu mnaweza kucheza champions league maana naona Spurs wanasuasua vile kama hawataki.
Ila Liverpool mna prospect nzuri sana hivi vitoto vyenu vinaonekana viko imara kuliko ata vya Arsenal, Man Utd tukichukua number 19th lazima mwakani muweke a big fight mtake kuvunja hiyo record.
Mkuu wale watoto wanatia moyo sana, Daglish has shown how just by having faith with someone leads to super performanceVijana wanajitahidi, msimu ujao tutakuwa moto wa kuotea mbali. Big up Flanagan and Robinson. You will never walk alone
Mkuu wale watoto wanatia moyo sana, Daglish has shown how just by having faith with someone leads to super performance
Hao vijana wamenifurahisha sana. Wanacheza mpira kama walikuwemo siku nyingi vile. Nilikuwa na wasiwasi wa beki 2 baada ya kuumia kwa Johnson na Kelly, lakini dogo Flanagan ameimudu sana. In few year to come tutakuwa moto wa kuotea mbali.Vijana wanajitahidi, msimu ujao tutakuwa moto wa kuotea mbali. Big up Flanagan and Robinson. You will never walk alone
Mkuu, wenzetu wanapotea sana hapa!mkuu tupo ila kwa ile quality ya vile vitoto vya ressies... I am speechless
sikuwahi tegemea akina thomson, jonjo, flanagan, spearing wanisahaulishe glen johnson, steven gerrard, daniel agger, etc
we have a bright future
mkuu, wenzetu wanapotea sana hapa!
Ni kweli mkuu hata mimi sikutegemea hawa watoto kuwa na kiwango hiki. Najiuliza kwa nini daglish alikaa mda mrefu hivo bila timu..
funny how time fliesPremier League - Benitez: If Torres goes, I go
PA Sport - Tue, 17 Nov 07:39:00 2009
Rafael Benitez will quit as Liverpool manager if star striker Fernando Torres is sold against his will.
The club's well-publicised debts have led to questions about whether owners Tom Hicks and George Gillett would be tempted should a big-money offer come in for the Spain striker.
But Benitez told The Times the 25-year-old would not be sold.
"I'm confident it will never happen," he said. "If it did, I'd resign."
The financial situation at Liverpool means they struggle to compete with their Premier League big-four rivals in the transfer market.
And Benitez admitted the situation had led him to make some mistakes.
"When we have spent big, normally it's been very good business," he said. "Torres, (Javier) Mascherano, (Pepe) Reina, (Xabi) Alonso.
"(Robbie) Keane is a good player but we had to sell him because he was not playing at the level we knew he could play.
"Ryan (Babel) was signed for the future and we are waiting for his improvement. He has to be more consistent.
"With the fringe players, we needed to take a gamble on Bosmans and one, two million-pound players. Some of these players have not been good enough for us.
"It is a risk you have to accept when there is not too much money about."
PA Sport
Sure mkuu. Na kwa mwendo tulionao, kuanzia msimu ujao watatukoma.Godoro uclo lilalia huwezi jua kunguni wake" King hapo liverpool ni kama godoro lake anajua miiko na makatazo ya liverpool waungwana nawaambia kama bwana Yesu alivyosema watakuja manabii wa uongo ila mimi nitabaki, basi ni kama liver zitakuja timu zitabebwa kama Man utd. Lakini LIVERPOOL itabaki.
Mkuu usikonde tupo. Tulikuwa kule kwa mashetani kuchombeza kidogoGood times for LiverPool fans. Lakini ajabu hawaonekani hapa!! Wakuu mmekasirika nini?!