Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

andy caroll kuja kuchenji ni baadae sana honera zake suarez kwa kufutia timu machungu..
 
Bahati nzuri tu mashabiki wa Liverpool ni watu tusiokata tamaa lakini hakika naanza kukosa imani King Daglish hasa kwa namna anavyokosesha amani Suarez. Nilitamani sana kuona Gerrard anacheza pamoja na Suarez na Bellamy sio Carroll. Kama siku atacheza Bellamy, Kuyt, Gerrard, Suarez, Downing na Charlie Adam hakika itakuwa safi sana
 
Mkuu Gerrard, hiyo ya Bellamy kucheza pamoja na Suarez hata mimi naisubiri sana, lazima itakuwa balaa. Captain S.G yeye sina mashaka ni suala la match fitness tu halafu tutamuona kwa sana... Ila hii issue ya kumtoa Suarez na kumuacha Carrol ndani wakati timu iko mbele kwa tofauti ya goli moja, kwa kweli nashindwa kuielewa, utadhani anaihujumu timu!!
 
Waleteeeeee Hao EverCartoon Leo tunawachapa 3-1.
 
Ile Sio Red Card ila alivyokwendan ilijuwa nini kitatokea kwa Suarez ni Yellow ilitakiwa sasa tuwakimbize kina belamy na Sg baadae. Carool siwakucheza.
 
Ile Sio Red Card ila alivyokwendan ilijuwa nini kitatokea kwa Suarez ni Yellow ilitakiwa sasa tuwakimbize kina belamy na Sg baadae. Carool siwakucheza.
Refa kachemka,nimesikia ndio anaongoza kutoa red card msimu huu
 
Martin Atkinson has given 15 red cards since the start of 2010/11.
 
Tumekosa nafasi kubwa ya penalt ile ilikuwa uchezaji mzuri wa Suarez kumuwekea mguu kuwa Penalt tusipotumia hizi nafasi hawa watu kumi wataanza kukaba tu.
 
i dont like the way we play especially huyu karolina

************** zake
 
Tuwekee Belamy hapo Mbele na Suarez waone mambo baadae ndio tukipata ma goal aingie SG la sivyo ni aib na ile Red card ambayo sio.
 
Huyu Kenny anazidi kuniuzi asingemtowa charlie angetowa Caroll na Downing kwa hao walioingia huyu Caroll bora hata Heskey wa sasahivi kuliko Caroll
 
Game ove tunduuuuuuuuuuuu Suerez nikapumzike mie 3 point to the jamii Kop Love it.
 
Kila timu inabebwa tofauti ni jinsi kila timu inavyotumia nafasi iliyopewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…