Miye nipo porini. Nategemea sana uchambuzi wenu.
Safi sana.Liverpool wanasakama sana wapinzani wao, mashambulizi ni ya kufululiza kwenda kwa City!
Mbona vitambaa vyeusi mkononi nani kafa?
Gary Speed, mchezaji wa zamani wa Leeds, Everton, Bolton na Shiefield United, pia mpaka mauti yanamkuta alikuwa kocha wa Wales.
thnx 4 info