Na mtoto mdogo wa kipa wa Liverpool Brad Jones, anayeitwa Luca Jones aliyefariki kutokana na ugonjwa wa Leukemia.Gary Speed, mchezaji wa zamani wa Leeds, Everton, Bolton na Shiefield United, pia mpaka mauti yanamkuta alikuwa kocha wa Wales.
Na mtoto mdogo wa kipa wa Liverpool Jones aliyefariki kutokana na ugonjwa wa Leukemia.
Mdogo wako Balotelli kavunjamnabahati sana..
Jaman leo vp hapo darajani tunaombeni mtujuze mnaoangalia mechi
​Daraja limebomolewa tena. Nadhani hawatamchelewesha huyu kocha.
Heeeheeeheeeeeee! Kazi kwelikweli, mto wenyewe una viboko, na wale wakikasirika hakuna cha mtumbwi wala ngalawa...mwaka huu mnalo!Tunavuka na mtumbwi hatutaki daraja!