Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii ya Lucas ni habari mbaya sana. Jamaa alikuwa ame-improve sana ukilinganisha na misimu iliyopita. Alikuwa anakamata kiungo vizuri mno.
 
Mkuu kweli kabisa jamaa alishakamata kiungo ile mbaya, ni pengo kubwa lakini naamini litazibwa kwani vijana kwa sasa wapo vzr kinoma. Spirit ya wachezaji inafurahisha.YNWA
 
lfc lineup 1. Reina 2. Johnson 3. Enriq 4. Skrtel 5. Agger 6. Adam 7. Handerson 8. Spearing 9. Carrol 10. Suarez 11. Bellamy
 
Halftime matokeo 0-0, huku timu zote zikionyesha mpira mbovu
 
Suarez sidhani ka atakaa muda mrefu lfc kwa mtindo huu...
 
we have to learn to beat smaller teams

Sera yao ya Wachezaji Wa Kiiengereza ime-feli..Hamna unafuu kati Ya Carrol, Handerson wala Downing..Af timu kubwa ka liver et inawashambuliaji wawili tu!!
 
Kwanini maxi aachwe nje lakini refa kaharibu mchezo kwa kukataa goli la suarez na kumtoa spearing
 
Suarez sidhani ka atakaa muda mrefu lfc kwa mtindo huu...
Huyu dogo kuna siku atang'ata mtu kama alivyofanya kule Holland! Jana kawaonyesha mashabiki wa Fulham ishara ya kidole cha kati! FA wamepata sababu, wanamchunguza na bado kesi yake ya maneno ya kibaguzi haijaisha!
 
Pengo la Lucas sijui nani ataliziba kuanzia msimu uliopita kaisaidia sana timu,..?! Sijui kulikuwa na 7bu gani kumtoa Aquilan kwa mkopo..Kwa sasa defence ndo inatubeba sana, acha Carragher aendelee kusubili,
 
Pengo la Lucas sijui nani ataliziba kuanzia msimu uliopita kaisaidia sana timu,..?! Sijui kulikuwa na 7bu gani kumtoa Aquilan kwa mkopo..Kwa sasa defence ndo inatubeba sana, acha Carragher aendelee kusubili,
aquilina is never a holding midfielder
 
aquilina is never a holding midfielder

Kwani ni lazima midfielder wote wawe holding M?!Si uliona Meireles alivyotubeba last season kwani na yeye alikuwa holding?!
 



Suarez wish is their command ... .... ....
khe khe keh khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Leo wakuu vp naona mpaka saa dk 40 bila bila

Kiasi flani game ya leo inamatumaini, ila inabidi atafutwe 4wad wa kucheza na Suarez manake kuna kipindi anakuwa na mpira au anapiga cross anajikuta hamna wa kumsaidia au wa kumalizia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…