Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bandugu, mbona ni kama mmekula kona??! Au mlidhani na leo tunaondoka na point moja?!
Ila ile cross ya Bellamy kama siyo mwamba SWP angejifunga goli tamu sana!
 
Bandugu, mbona ni kama mmekula kona??! Au mlidhani na leo tunaondoka na point moja?!
Ila ile cross ya Bellamy kama siyo mwamba SWP angejifunga goli tamu sana!

Acha kelele lile chama kubwa siyo watoto walioibuka juzi.
 
Acha kelele lile chama kubwa siyo watoto walioibuka juzi.
Siyo kelele mkuu, mara nyingine kwenye mechi tuwe hapa, tupeane habari, tujadili... kuna mtu atajikuta lbda yuko mbali na tv/radio apate maendeleo ya mechi hapa..
 
Luis Suarez runs away in celebration after scoring for Liverpool

Is he a racist?

glen Johnson anaangushwa ndani ya pemalti box, naona refa anatoa kona hapa
 
nzogbia challenged by Charlie Adam, faulo kwenda lango la liverpool
 
yellow card charlie Adam baada ya kumchezea rafu Emile Heskey
 
kuna kitu tunamiss katikati.... mipira inapoa mno aisee kwa henderson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…