ndio hivyoo...poleni sana kwa droo....
Afadhali ya Benitez kuliko Daglish
Yaani ile sare na Stoke imenikera kweli.. Daglish sasa hivi anavyoipanga timu utadhani anavuta bangi. Sijui anasubiri nani amwambie ndo asajili washambuliaji.
Mkuu, Gerard siyo mshambuliaji. Tunahitaji mtu wa uhakika siyo hao wanaojifariji nao kina sijui Defoe mara Bent... Inakera sana mkuu.si Gerard amesharudi ndio anampakiburi..
kila la kheli p-red na wanazi wote wa loserfool..
acha uchuro mwana watu tuna bp hapa
Asante mkuu... Japo nina wasiwasi na hii kheri yako maana tayari tumepewa moja ya chembe...lolkila la kheli p-red na wanazi wote wa loserfool..