Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hey majogoo wenzangu mko wapi?! Leo spurs lazima walie, Vijana wetu kwa sasa morali iko juu, na ukiongeza Suarez kamaliza ile adhabu ya kionevu, lazima mtu atolewe ngeu leo.
 
mkuu tupo full ila nasikitika huku kwetu tania seko wamechukua chao sijui ntaona kweli gemu hii?
 
Niambieni wazee wa moja nzuri, mbili mbaya.. Naomba m'draw leo.
 
Waambie Elimu yote kumbe wamesinzia kama Hiyo Pic kwenye Avatar hakuna hata mjuzi wakutafuta njia nyengine? turudi kwenye soka huyu Kenny ndio Enrique hayupo ila sio wakumuweka Johnson kushoto atageuzwa kule kama Chapati! huyu Caroll hafai hata kidogo ila tusubiri kigozi tuone itakuwaje LFC plz 2kamue sasa.
 
Ade_Baya hachelewi kusema kaambiwa yeye Striker! Suarez akiingia.
 
hahahaha! huyo paka katoka wapi, au mambo ya juju...hahahahaha!!
 
Kati hakuna kabisa creativity....... Gerard sijui vp tu........
 
hahahaha! huyo paka katoka wapi, au mambo ya juju...hahahahaha!!

uchawi wazamani tunao LFC! itabidi tuige wa kisasa wa United kuwa na Howard Webb! lol. Yule Nyau sijui katokea wapi Nyauuuuuuuuu!
 
dalili ya Mvua ni mawingu... may be L'pool will get a goal soon....
 
Haahaaa! Yule nyau ni Redknapp yule! Kashindwa kupata ndege kutoka London ili awahi mechi, (alicheleweshwa na ile kesi yake ya kukwepa kodi) ikabidi aombe lifti kwenye ule ungo wa Wacha1, Wacha1 akampa sharti la kutumia teknolojia ya jadi ili kuupunguzia uzito ungo wake, jamaa ikabidi akubali kuwa paka kufika Anfield sijui ni kizunguzungu sababu ya kasi ya ungo, Redknapp ktk umbo la nyau akajikuta anakatiza uwanjani live!!!
 
Jona Nje ya Box au ndani karibia na nje ya box hakuna watu kabisa hili li Caroll sijui kitu gani anafanya.
 
Boring Draw hakuna tulichofanya pale Middle dk za mwisho ndio zimejaribu kupanda kuingia kwenye box muda wote walikuwa wapi? nikapumzike mie.
 
may be Liver wataiua man utd next game on Sat....... Kila la kheri.....
 
To me ref played a super player for the spuds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…