Hivi kwanini Kile kibabu cha manu na wafuasi wake wanamhaha sana KD?! Wewe aliyekuambia kuwa hapa kuna shughuli ya kuwa-blame watu ni nani?!
Next Arsenal wajiandae na kichapo, man city bahati imemkuta!
Ze legends.
Liverpool will improve further, adding Sahin to the team and Assaidi Arsenal will be well beaten. I feel this season Liverpool will do great! Up Liverpool YNWA!
A DAY TO FORGET ... Luis Suarez shows his frustration
Hongereni wakuu thats your story ..... ....
Liverpool mngenunua strikers jamani msingekua hivi mlivo na kumbukeni wiki ijayo tunawafuata anfield hapo
samahanin jaman nmepitiwa nlidhan na huku mpo uefa nije walau kupata matokeo nmekumbuka n mwka wa nne sasa hua mnaickiaga 2 kw majiran ntakuja tena j2
Wewe uko UEFA gani mkuu?! Ile ya kutolewa kwenye makundi au?!samahanin jaman nmepitiwa nlidhan na huku mpo uefa nije walau kupata matokeo nmekumbuka n mwka wa nne sasa hua mnaickiaga 2 kw majiran ntakuja tena j2
Unaona unavyoweweseka?! Uefa cup ipi hiyo??? Mbona mchecheto umekuanza mapema hivo?! Pole.:biggrin1: hawa champions league tumeshawafuta..hata wakirudigi watakua kwenye pot sawa na man city....hata kaji uefa cup hampo? daaah!!!