hadi sasa sijui torres anafanya nini uwanjani. oscar kakosa goli la wazi. mia
Hata mkiungwa mkono na Ma U ni lazima tuwachape tu leo
losserfool wanapata kona..
Nimeipenda hii, liverpool kawa losserfool kweli losserfool
hazard anatisha. ni dakika ya 31. chelsea 1 - 0 liverpool. mia
Man U ni maadui wakubwa wa L'pool Fc hapo Uingereza na hamna mwingine!
Na adui siku zote mwombee njaa!