punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Haaahaaaa, Pazi umepatikana! Siyo tu katoa assist bali pia kafunga... unalo hilo mwezi mzima!LEO NIMEAMBIWA DOWNING AKIFUNGA GOAL AU ASSIST NIJIITE STEWART DOWNING MWEZI MZIMA HUU DAH:becky:
Mkuu sio Suarez ndio kisingizio. Timu ni mbovuNaona now livapuli washapigwa 3 - 1!
Kwa huu uchoyo wa Suarez, ther is no way they are gonna come back!!
Ukiangalia individual players, livepool ina wachezaji wazur sana! Kwangu mimi naona kocha anashindwa kuwacombine vizur. Huyu Kocha kapewa mikoba ambayo siyo size yake!Mkuu sio Suarez ndio kisingizio. Timu ni mbovu
Wachezaji wa maana hapo ni Agger, Johnson, Suarez na may be Sterling. Gerrard ameshachoka wengine wote ni just average playersUkiangalia individual players, livepool ina wachezaji wazur sana! Kwangu mimi naona kocha anashindwa kuwacombine vizur. Huyu Kocha kapewa mikoba ambayo siyo size yake!
Hata sub anazozifanya sasa hivi zote ni za kijinga!
Liverpool Football Club
Born 1892
Died officially April 2009
RIP
bora Abajalo kuliko Liverpool...
Liverpool Football Club
Born 1892
Died officially April 2009
RIP
Wacha lol usitete hawa michezaji inapewa mipesa kibao kwa weeks inafana ujinga tu na upumbavu:A S angry:
Mkuu mie kuanzia leo sitizami tena Liverpoolfc mpaka nitaposikia kweli wamerudi nafasi ya 4 siwezi kuumiza kichwa watu wanapata pesaa zao kwa weeks hawana machungu na timu, bora nikamtizame Mwanangu Park yaishe na hapa ndio siji ujinga mtupu Steven Gerrad naye bora astaafu tu mie na Football basi tena. bora mtu ukatizame Wanawake wanacheza netball nikaswali mie Swala zangu 5 ni muhimu kuliko hii mipira. Liverpoolfc byebye mpaka mtaporudi nafasi ya 4 waniite tu plastic fan. hata Wacha ana furahisha kuliko Shelvey na Handerson.
Haaahaaaa, mkuu Pazi, mechi na QPR usikose! Na ujiandae kabisaa... hata kama tukitandikwa usipanik sana, uwe mpole tu! YNWA.Mkuu mie kuanzia leo sitizami tena Liverpoolfc mpaka nitaposikia kweli wamerudi nafasi ya 4 siwezi kuumiza kichwa watu wanapata pesaa zao kwa weeks hawana machungu na timu, bora nikamtizame Mwanangu Park yaishe na hapa ndio siji ujinga mtupu Steven Gerrad naye bora astaafu tu mie na Football basi tena. bora mtu ukatizame Wanawake wanacheza netball nikaswali mie Swala zangu 5 ni muhimu kuliko hii mipira. Liverpoolfc byebye mpaka mtaporudi nafasi ya 4 waniite tu plastic fan. hata Wacha ana furahisha kuliko Shelvey na Handerson.