SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Haaahaaaa, mkuu Pazi, mechi na QPR usikose! Na ujiandae kabisaa... hata kama tukitandikwa usipanik sana, uwe mpole tu! YNWA.
Sturridge signs for Liverpool, good move?? I think yeah. View attachment 77954
Nimeipenda sana hapa Kamanda!!!!
Mkuu!! Mi sioni haja ya kurudi kwa huyu Carrol kwani hata hivyo Mi naona hivyo tulivyo yatosha................!! Ngoja tar. 13/01/2013 saa kumi na nusu tuwafundishe hawa wanaojiita mashetani wekundu adabu!Hata mimi, yaani angalau anaweka back up kwa Suarez..tunahitaji magoli, ndo kitu kila siku tulikuwa tunashindwa kupata..Je, Unataka Caroll arudi?
kabisaa..tukiweza mzuia Robin Van Persie tu tunawafunga wale..siwapendi kama nini, yaani nachukia Man U hadi basi.Mkuu!! Mi sioni haja ya kurudi kwa huyu Carrol kwani hata hivyo Mi naona hivyo tulivyo yatosha................!! Ngoja tar. 13/01/2013 saa kumi na nusu tuwafundishe hawa wanaojiita mashetani wekundu adabu!
Time will tell... binafsi simkubali dogo lkn natamani nisiwe sahihi! Mastriker wa kiingereza mara nyingi ni pasua kichwa sana.Sturridge signs for Liverpool, good move?? I think yeah. View attachment 77954