kashengo,nadhani hukuelewa alichosema +255Huyu Suarez mchezaji mzuri ila anaharibu sana image ya Liverpool fc. Kwa incident ya jana naona ndio kaishajiondoa kwenye tuzo ya PFA. Af naona ameamua kutafuta sababu ya kuondoka Liverpool. Mbaya zaidi angemng'ata mchezaji mweusi af angekuwa wa Man United sijui habari leo zingekuwaje!
Banislav Ivanovic ni Mweusi? Kaka game hukuoiona nini?
alisikiliza kwenye radio
Banislav Ivanovic ni Mweusi? Kaka game hukuoiona nini?
Mbaya zaidi angemng'ata
mchezaji mweusi af angekuwa wa Man United
sijui habari leo zingekuwaje!
alisikiliza kwenye radio
aisee kile kichwa kama goli la aguero aisee... the cannibalist made it..
http://m.facebook.com/suarez16luis?refid=46For my unacceptable behaviour yesterday, the
club has fined me today. I have asked the club to
donate the money to the Hillsborough Family
Support Group for the inconvenience I have
created to the Liverpool fans and to Ivanovic.
Mkuu, naona jina alilokuwa nalo la "Racist" litapotea kwa sasa atakuwa anaitwa hilo jina la "Cannibalist" ila ame apologize na club imempiga fine.
Tusubira kwa FA itakuwaje ila naona sign za kufungiwa game zilizobaki na Van P kuwa na mazingira mazuri ya kuchukua kiatu.
http://m.facebook.com/suarez16luis?refid=46
itakuwa soo sana kama refa atakuwa kareport hilo tukio..
Refa sidhani kama atakuwa
aliliona lile tukio, ingekuwa hivyo angemlima kadi. Ila nadhani FA
lazima wamuadhibu hata kama refa hajali-report. Mi kinachoniuma zaidi
naona kaisha poteza credibility ya kuwa mchezaji bora. Ila tusubiri
anaweza ikawa kama kwa Zidane.
Waingereza wanafiki sana, kwani Defoe alipomng'ata Mascherano FA walichukua hatua gani?
Refa sidhani kama atakuwa aliliona lile tukio, ingekuwa hivyo angemlima kadi. Ila nadhani FA lazima wamuadhibu hata kama refa hajali-report. Mi kinachoniuma zaidi naona kaisha poteza credibility ya kuwa mchezaji bora. Ila tusubiri anaweza ikawa kama kwa Zidane.
Defoe si ndio Muingereza mwenyewe! FA inawalinda sana wachezaji wa Kiingereza. Mtu kama Joe Barton pamoja na fujo zote walikuwa hawamfanyi kitu hafi hii mara ya mwisho walipomfungia, au kwa kesi ya John Terry na Suarez zilikuwa na tofauti gani? ila angalia adhabu zilikuwa tofauti kabisa!Waingereza wanafiki sana, kwani Defoe alipomng'ata Mascherano FA walichukua hatua gani?
Na wewe umefata mkumbo! Muwe mnasoma vizuri vinavyoandikwa.
Waingereza wanafiki sana, kwani Defoe alipomng'ata Mascherano FA walichukua hatua gani?
defoe si ndio muingereza mwenyewe! Fa inawalinda sana wachezaji wa kiingereza. Mtu kama joe barton pamoja na fujo zote walikuwa hawamfanyi kitu hafi hii mara ya mwisho walipomfungia, au kwa kesi ya john terry na suarez zilikuwa na tofauti gani? Ila angalia adhabu zilikuwa tofauti kabisa!
Sasa hiv wamempa Chagre sheet eti wanasema hata kama angepewa kadi nyekundu na kukosa mechi tatu ingekuwa haitoshi maana yake bado wangemwongezea adhabu wakati Defoe alipewa kadi ya njao na tukio liliishia uwanjani....Poor FA ndio maana mpira wao hauwezi hata kidogo kuwa sasa na wa Uruguay
Defoe si ndio Muingereza mwenyewe! FA inawalinda sana wachezaji wa Kiingereza. Mtu kama Joe Barton pamoja na fujo zote walikuwa hawamfanyi kitu hafi hii mara ya mwisho walipomfungia, au kwa kesi ya John Terry na Suarez zilikuwa na tofauti gani? ila angalia adhabu zilikuwa tofauti kabisa!