Too hot to handle: Daniel Sturridge (left) is congratulated by Luis Suarez (right)
after he doubled Liverpool's advantage
Loving father: Suarez walked around the pitch with
his son and daughter on his return to Anfield
Mwaka huu naona mnatisha, safi sana tutapambana tu hivyo hivyo ... ...
Tusipong'atuka na leage ama FA nakwambia kutakuwa na mkono wa mashetani!
You will never walk alone!
Tusipong'atuka na leage ama FA nakwambia kutakuwa na mkono wa mashetani!
You will never walk alone!
1.)I agree with you on Gerrard. Inaonekana Rogers anamwogopa Gerrard. Kuna baadhi ya games unaona amechoka na anahitaji kuwa-substituted lakini anacheza hadi mwisho.as long as our defence na hasa sakho, toure, wingback, na agger wako poa na pia lucas, coutinho, suarez na sturridge hawaumii tutaweza kwenda top four
kwangu mimi Gerrard is costing his team, anachoka dk ya 60 na kuwa mzigo kwa timu nzima, benitez alikua anampta muda wa kupumzika which rodgers isnt doing
1.)I agree with you on Gerrard. Inaonekana Rogers anamwogopa Gerrard. Kuna baadhi ya games unaona amechoka na anahitaji kuwa-substituted lakini anacheza hadi mwisho.
2.) Skirtel anatakiwa akae bench mara baada ya Agger kurudi. Katikati asimame Agger na Sakho/Toure
3) Huu mchezo wa kumtoa Victor Moses kila game na kumwingiza Sterling ukome. Anaetakiwa kupumzishwa ni Henderson sababu yeye hachezi mpira wa maana zaidi ya kujali nywele zake.
4.) Ikifika January transfer window we need to add an attacking mid ya kumsaidia Coutinho na winger mwenye mbio ambae atacheza wide kama Walcott wa Arsenal. Hapo tutakuwa poa
Rogers binafsi simkubali naona bora tumlete Guus Hiddink, Frank Rijkaard ama Rafa Benitez
Rodgers has achieved what no one would achieve, bringing discpline to the team, i agree with all other comments except ya kumtoa rodgers. Liverpool needed to start afresh, and they needed a naive coach with all dreams but no contamination BR, is just that
I dont like henderson kabisa, i would go for Moses in place of Rodgers, na kuhusu gerro, him as a captain should not be selfish, he needs to ask to rest (sturridge did so) and should also stop making too many mistakes... of the goals conceded, 3 implicate him directly
Rogers has his own shortcomings as a coach. He lacks CL pedigree which may cost Liverpool a lot
hata Mourinho aliwahi kuwa new comer kwenye CL, hata Wenger hadi leo hana CL medal
someone has to start somewhere and BR and Liverpool are a in the perfect situation to start afresh
at this point and with the financial situation and the depth of the squad, Liverpool cant afford those high caliber men you are talking about
That's what is costing Wenger and Arsenal. Arsene Wenger lacks CL pedigree and so does Rogers
respectfully disagree.. how did mourinho, AVB, etc started being CL gurus??
BR is not different from them