Si unajuwa Lucas amerudi na Coutinho kashapona hajapangwa tu Leo.Haaaahaaaaa! Pazi, naona leo hauna tatizo na Henderson! Leo vijana wamecheza mpira wa hayari... YNWA.
Mkuu usiingie ugonjwa wa Arsenal wa kujisifia ushindi na vibonde. W. Bromwich ni kibonde kama C. Palace au Norwich. Ngoja tuanze match ups na top teams baada ya hapo ndio tutajua kama hii timu is for real ama ni just pretenders.Haaaahaaaaa! Pazi, naona leo hauna tatizo na Henderson! Leo vijana wamecheza mpira wa hayari... YNWA.
Sio wote Mie toa sturidge number yake katika 45 ndio umri wangu. Hatufati kinyesi.Hii timu mashabiki wake huwa wanakuwaga over 45 kimiaka
liverpool sawa tu na prizon ya mbeyaSio wote Mie toa sturidge number yake katika 45 ndio umri wangu. Hatufati kinyesi.
Kweli mkuu hata Mie huwa mpaka game 20 ndio tutajuwa ukweli wetu LFC, sasa hivi mapema mno tena sana, Mishetani mekundu wapo nafasi ya 8 ila ukiitizama hawapo mbali sana tofauti ni ndogo sana wanauwezo wakurudi point zao tofauti na top 4 ni maybe 6 je LFC tujiulize kweli zikifika game 20 tutakuwa top 4? Kwa maoni yangu sizani. Ila tulipokuwa tushukuru na wasikae tamaa Tupo weak katikati ya uwanja na Arsenal ndio katikati wapo best.Mkuu usiingie ugonjwa wa Arsenal wa kujisifia ushindi na vibonde. W. Bromwich ni kibonde kama C. Palace au Norwich. Ngoja tuanze match ups na top teams baada ya hapo ndio tutajua kama hii timu is for real ama ni just pretenders.
Next stop Emirates
Usichekeshe watu watakuona kichwani hazipo unafananisha Mike Tyson na matumla? Kichwani unazo mshukuru mungu ukiwa cha kusema huna wanasema mtu bora unyamaze.liverpool sawa tu na prizon ya mbeya
Nashukuru umeliona hilo mkuu. Ukishacheza na 2 Manchester teams, Chelsea, Tottenham na Arsenal hapo ndio utakuwa ktk position ya kujua kama timu itafika wapi.Kweli mkuu hata Mie huwa mpaka game 20 ndio tutajuwa ukweli wetu LFC, sasa hivi mapema mno tena sana, Mishetani mekundu wapo nafasi ya 8 ila ukiitizama hawapo mbali sana tofauti ni ndogo sana wanauwezo wakurudi point zao tofauti na top 4 ni maybe 6 je LFC tujiulize kweli zikifika game 20 tutakuwa top 4? Kwa maoni yangu sizani. Ila tulipokuwa tushukuru na wasikae tamaa Tupo weak katikati ya uwanja na Arsenal ndio katikati wapo best.
kichwani zipo sana,tatizo we mzee mpaka unapoteza kumbukumbuUsichekeshe watu watakuona kichwani hazipo unafananisha Mike Tyson na matumla? Kichwani unazo mshukuru mungu ukiwa cha kusema huna wanasema mtu bora unyamaze.
Hii timu mashabiki wake huwa wanakuwaga over 45 kimiaka
suarez 3,sturridge 1.Hutaki kajitundike or amia r madrid! !!?????
Mkuu, tungecheza vibaya tungelaumu bila kujali tumecheza na timu gani. Sijawahi kuwa carried away hata kidogo. Ligi bado iko mwanzo, hiyo haizuii kusema wakicheza vibaya au vizuri...YNWA.Mkuu usiingie ugonjwa wa Arsenal wa kujisifia ushindi na vibonde. W. Bromwich ni kibonde kama C. Palace au Norwich. Ngoja tuanze match ups na top teams baada ya hapo ndio tutajua kama hii timu is for real ama ni just pretenders.
Next stop Emirates
Nashukuru umeliona hilo mkuu. Ukishacheza na 2 Manchester teams, Chelsea, Tottenham na Arsenal hapo ndio utakuwa ktk position ya kujua kama timu itafika wapi.
Hii biashara ya kuanza kutangaza ubingwa wakati umecheza na vibonde watupu so far waachie Arsenal wenyewe