Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kweli mkuu Jaslaws, mechi itakuwa ngumu lkn city inafungika... Leo lazima tuwalize palepale kwao. YNWA.
 
Ila mm nina wasiwasi na Kati pale Allen-Lucas na Hindo kweli wataweza mziki wa kina toure, lazima tumezwe wazimawazima Leo
 
Liver moja! Wapiga kelele mko wapi?! Au mnategea muone upepo kwanza?!
 
Hakika game ni tafu sana ila dk 45 ya kipindi cha pili ndiyo msema kweli!
 
Jamani, yule mshika kibendera aliyenyanyua offside kwa Rahiim na goli likakataliwa, ana makengeza au?! Hakukuwa na offside yoyote pale.
 
Jamani, yule mshika kibendera aliyenyanyua offside kwa Rahiim na goli likakataliwa, ana makengeza au?! Hakukuwa na offside yoyote pale.

Inaonekana haya makosa yanatokea sana Etihad manake hata Arsenal walikataliwa goli kwa style hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…