wazo zuri ndugu..Kumbe shida yenu ni kucheza UCL?
Yani nakuweka kapuni! Sisi tunautaka ubingwa Wa EPL na UCL!
Chezea Chelsea wewe!?
Nilikuwepo!
wazo zuri ndugu..
Thx Mwana!
Mkuu Ntunzu lazima weekend hii Liver wakubake kwa mchezo huo wa Mourinho wa kupata goli 1 na kupaki basi hakika unapigwa.
Liverpool wapo vizuri at the moment, kama wataweza kucheza kama walivyocheza na spurs au man city leo watapata ushindi.
Jamani ivi timu ikicheza mechi mbili vizuri basi inakua inatisha!? Subirini muone Leo mpira!
Leo liverpool jiandaeni kulalamikia refa tena..leo mje na refa wenu
Si tunachoomba usije kimbia kama kawaida yako but believe it or not mechi ya leo ni ngumu sana na kuna asilimia kubwa ya Chelsea kupigwa.
Mkuu Mimi sijaanza kushabikia mpira Leo! Nawala siwezi kukimbia! Naijua LFC vizuri namfahamu Mou vizuri! Ninachosubiri nione Mou amepanga kikosi gani ndio nikupe tathimini! Na Km akipanga kile kikosi kilichocheza na Arsenal Liver hawatoki! Na Leo tegemea kuona mpira Wa Hali ya juu! Maana kocha Wa Liver anakuja kukutana na boss wake Mou Wa zamani maana wamewahi wafanya kz pa1 Kwahiyo hapo ndio penye raha!
Kikos cha katikati Lampard halaf Oscar nje ndio unakitegemea mkuu? Hakika nakuhakikishia kama Lucas Leiva, Allen na Coutinho wakiwa kwenye form waliyokuwa nayo siku wanacheza na Man City hakika mipira mingi lazima imfikie Canibal na kiberenge Sterling na hapo ndipo majanga lazima yatokee.
bahati mby sn ramires hatacheza amekuwa suspended mechi moja kutokana na kadi[/QUOTE
Haina shida hiyo!
Liver mmpo?