Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Penaaaaaaaaaaaaaaaaalt.........

Mnaikumbuka hii Old traford?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Aibu...aibu...kwa ManU...but sisi Kops tunasema David Moyes is the Football genius!

Hii ni kwa kila ajae mbele yetu ajipange.....Huwezi kuizuia SAS, ni kama katapila ukijifanya unazuia katapila unajisababishia matatizo, Ukijifanya kuizuia SAS unazalisha matuta. "You W'll Never Walk Alone"
 
Exactly...!
 
Mechi iliyopita December 2013 Liverpool tukiwa anfield tuliifumua Cardiff mabao 3-1. Mimi huwa sitabiri kwa kubase on past events ingawaje wengi huamini on history. The Cardiff v/s Liverpool facts ni kwamba liverpool gemu yake ya mwisho kushinda akiwa ktk dimba la cardiff ilikuwa 1 April 1929 na alishinda 2-1, katika mechi 31 ambazo wamewahi kukutana Cardiff kashinda 18, liverpool kashinda 10 na wamedroo 3. Historia haajirudii lazima tuondoke na point 3 muhimu coz msimu wa 2013/2014 ni wa LIVERPOOL.
 
Mara nyingi timu inayokuwa on top wakati wa Christmass ndo huwa champion. Kama mnakumbuka wakati tukichapa pilau kwa kuku, majogoo wa anfield tulikuwa on top, so this season is for YNWA!!!
 
Word!
Huu ni mwaka with...
 
Leo na wasiwasi tuna Draw Cardiff sio rahisi hasa muda wao wakushuka huu hawataki kirahisi sie tushukuru tutamaliza Top 4 bingwa ni Chelsea au City.
 
Tunakuja hapo kwenu mwezi ujao lazima tuwanywe damu!

Chelsea we are the champion
 
Leo na wasiwasi tuna Draw Cardiff sio rahisi hasa muda wao wakushuka huu hawataki kirahisi sie tushukuru tutamaliza Top 4 bingwa ni Chelsea au City.

Samahani mkuu,kutoa suluhu na cardiff nyumbani anfield ni ndoto ya masikini kwenda kufanya matanuzi Mlimani city wakati bei ya godoro haijui.
Kile kilichowapata mzunguko wa kwanza ndicho kinachowatokea leo.
Suarez cant get it enough... #ynwa

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…