The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Ntuzu acha ushabiki wa kiswahili punga wewe! Nani alijua chelsea itachukua champions league mwaka juzi? Usipende kubwabwaja sana mwezi mzima kabla ya mechi,hivi mlijua kuwa mtafungwa na aston vila last week? Hivi wewe unaujua mpira kweli?
Uzuri Mimi sitoi lugha za matusi km wewe! Na hii inaonyesha Kua huna hoja ya kujibu!
Nimesema hivi tangu Jana humu ndio ntakua nashinda mpk tarehe 27 mwezi ujao! Maana nimebakiza biashara na nyie tu nimalize kz na niwakaribishe tarehe 3 darajani siku ntakayo Kua nakabidhiwa kombe!
Ninachowambia jipangeni! Nakuja kuwaharibu km nilivyompiga Man City!

Wishes...! Pale ni Anfield usipachezee.
Ata Etihad niliambiwa hivyo hivyo Lkn kilichomkuta city wote mnajua!
Iv season hii man city hajamtungua Chelsea????
Uzuri ukweli unao kichwani japo kimaandishi wajipa false hopes ndugu. BR is the best manager of the season so as Suarez! Mpira tunaocheza unaeleweka na ni mzuri sio nyiny na Ashanti yenu hyo ya bluu.
BR ni best kwenu Na Suarez ni bora kwenu Lkn siku the blues wakitua hapo lazima mpotee!
Tayar JINAMIZI la LIVERPOOL lishaanza msumbua mtu
Teh teh Teh Teh Teh
Yani humu mtanikimbia safari hii!
Usipanic mkuu we endelea kulala ilakumbuka ucje kimbia na shuka
BR ni best kwenu Na Suarez ni bora kwenu Lkn siku the blues wakitua hapo lazima mpotee!
kama stanford milishinda 2 - 1 tena kwa fitna sijui anfield itakuwaje........?
Hebu niambie hiyo fitina ilikuaje? Maana Mimi nilitizama mpira Lkn hiyo fitina sikuiona?
Nakwambia hivi, Huyu Suarez na Daniel Sturidge lazima wapotee!
Ukija ktk viungo wenu, Cotinho, Stearling, Aleyn, Lucas au Stive Gerrad lazima wachemshe na wapotee!
Ukija Kwa mabeki wenu Skirtl, Agga, Johjnson au sijui Flanagan hawatoweza kuwazuia Akina Hazard, Willian, Oscar na Eto'o.
Ndoto za Liverpool bado zinakusumbua mkuu.....ad gemu ifike cjui utakua na Hal gan, yan atakae kaa mbele ya liv3r kibra inamuhusu
Yani humu mpk mtanichukia!
Ntaroroma mpk siku ya game mtakua tayari mlishafungwa!
BR anajua kz inayokuja kwake hiyo Tarehe! Kamuulize Wenger na Pelegrini wanamjua vzr Mourinho!