Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

...Unahitajika umakini kabla hujaandika chochote. Kama kuongea kwa domo kuna faida, ni kwann amejing’atang’ta na kurudisha lawama kwa mwanahabari aliyevujisha maneno aliyoyatoa kumkashifu eto?


Osokonoi wewe Hapana mujua Mourinho! Muulize Manuel Pellegrin Kwanini alikataa vita ya maneno na Jose kabla ya game Yake na kusisitiza kiwanja ndio kitaongea?

BTW Mourinho anampenda sn BR Kwahiyo hatoweza kuongea sn Zaidi ya kumpa sifa Zake Kwa kuiokoa Liver Angalau next season mtashiriki UCL! Na ukumbuke kwamba tangu BR aichukue Liver hakua anafanya vzr hapo mwanzo na Jose aliwahi kuwambia wamiliki Wa liver Kua BR ni mzuri na apewe Muda na atafika pazuri! Wajua Hilo? Teh Teh Teh Lkn Zaidi ya hapo lazima tuwapige tu!

Narudia tena ile ilikua mbinu Kwa Jose Kwa Adui Zake km nyie!
 
Dah..Ntuzu, LiverpoolFc inakupa presha saana aisee, kwanini usifocus na game yako na PSG na kutafakari kwa kina utaweza vipi kumfunga Stoke city ambaye alikufunga game ya kwanza, na isitoshe tu umetoka kufungwa na crystal palace kwa kudhalilishwa...???



Ila Mkuu Ntuzu kwa ubishi umetisha!!!!...Hands down..
 



Teh Teh Teh Teh Teh

I told you guys that days and nights I will be here---- didn't I?

Liverpool hawanipi presha yoyote ile Mkuu Yani Moyo wangu uko kwatuuuuuu umetulia coz Naelewa kikosi changu kilivyo imara, Naelewa Kocha wng Yuko na uweza mkubwa Wa kufanya makubwa na popote pale! Ndio Maana waona naongea Kwa wingi Wa kujiamini kabisa!

UCL game dhidi ya PSG Nataka nikwambie kwamba tangu ivyo toka hiyo RATIBA na chelsea kupangwa na hao mimi nilisema Chelsea tayari kafika nusu fainali na hasa ukizingatia Kua tunaanzia ugenini! Naelewa ni game ngumu Lkn ki asilomia za kusonga mbele Chelsea anaongoza na pia Laurant Blanc yeye mwenyew anakili Kua kuna kz Ingawa Yuko na wachezaji wazuri km kina Zlatan na Cavan etc Lkn ligi one sio ngumu sn km EPL Au timu za France sio ngumu sn km za England! Kwahiyo Mimi nasuburu nusu finally tuone tunapangwa na nani!


Stock hawezi kutufunga mara Mbili ndio Maana ktk Hilo siongei sn kwasababu najua nini kitamtokea Stock!
 
Naikubali sana hiyo formation yenu ya kushambulia kama kifaru.Imemsaidia sana tores mpaka sasa anamzidi magoli skrtel...eheheheheheheheeeee

Hahahahaha! Ama kweli darajani ni sehemu ya kuua vipaji!!
 
Hahahahaha! Ama kweli darajani ni sehemu ya kuua vipaji!!


Acheni uongo! Kupaki gani kimeuawawa darajani?

Wachezaji Wa Chelsea wameimarika Zaidi Alafu wewe unasema tunauwa vipaji? Ebu muangalie Juan Mata! Kafanye nini Kwa Man Utd?
 
Acheni uongo! Kupaki gani kimeuawawa darajani?

Wachezaji Wa Chelsea wameimarika Zaidi Alafu wewe unasema tunauwa vipaji? Ebu muangalie Juan Mata! Kafanye nini Kwa Man Utd?

Vipaji mlivoua huvioni ivi etoo angekuwa barca muda kama huu angekuwa na mabao chini ya 20? Torres alikuwa el-nino asa iv ni ukame tupu!! Je umemsahau shev ndo mana sturrdge alshtuka na asa ivi anashkilia nafasi ya pili kwa kutupia angeng'ang'ania darajani asa iv tungekuwa tumeshamsahau!!
 

CC: Mentor...aione kwa mara ya pili pia Ntuzu!
 
Last edited by a moderator:



Teh Teh Teh

Mpira uko na mafomesheni kibao! Na Wala hatuuwi vipaji! Torres amekosa backup km aliyokua nayo Liverpool na pia mfumo wetu ni mfumo imara na ndio Maana ktk timu zote England Chelsea ndio wamefungwa magoli machache!


Teh Teh Teh

Chezea Mourinho wewe?
 
......dahhhhh, kabisa aiseee....kwa mara ya pili/tatu ka "Chihua hua" kamewa Over-take "Two horses" and a pony,....wakati huo yule Punda Kirongwe ana kila dalili ya kushika nafasi ya sita sasa na kumrudisha Spurs Saba saba!

team chihuahua all the way
View attachment 148485
 
Acha kurukaruka na kujikomba kwa BR. Tetea hoja yako uliyosema kwamba kubwabwaja kwa domo kaya kunasaidi...Unahitajika umakini kabla hujaandika chochote. Kama kuongea kwa domo kuna faida, ni kwann amejing'atang'ta na kurudisha lawama kwa mwanahabari aliyevujisha maneno aliyoyatoa kumkashifu eto?
 


Teh Teh Teh

Mkuu osokonoi Mimi bhana Msukuma Wa Ntuzu sasa Hilo jina Lako nahisi Kua wewe ni jaruo Samahani Lkn km ntakua nimekosea ila Nilipenda tuongee kijaruo kidogo huenda ungenielewa vzr hasa ktk kumfahamu Jose!
 
Last edited by a moderator:
eheheheheheheee...aombe po kwa foward gani..? Huyo aliyemzidi magoli...aaaakhhhhh, ptuuuuu... mwambie kibabu terry (anayependa kuchukua wake za wenzake)...ehehehehehehee aandae maji ya kujikanda kwa shughuli atakayoipata this wend toka kwa boyz from Liverpool...charlie adam, oussama assaidi na nani tena?....eheheheheee...peter crouch
Teh Teh Teh Teh

Skrtel siku hiyo lazima aombe po! Kwi Kwi Kwi Kwi! Na hivi nyonga yake ngumu km ya Agger!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…