Mfano Leo ukishinda, utakua unaongoza ligi kwa point ngapi?
Teh Teh Teh!
Terry atoboa jahazi ktkt ya bahari
me ntakuwa nmekuacha 2pts, so hata ukishinda game zoote zilizobaki (except liverpool), na mimi nikishinda game zooooote, huwez nifikia Ntuzu...au hata tukitoa draw na wote tukashnda game zte zilizobak, bado hutaweza kunifikia Ntuzu..
Umejibu vema Mkuu! Sasa ile game yng Na wewe Ndio ntakupiga ntakavyo na kukaa juu Yako! Pigia hesabu timu zingine Mkuu!
Chelsea bado wamo. City na pool wakitoka sare Chelsea wanarudi kundini
still, he's a decent centreback England ever had..
Ntuzu angalia leo Big Sam atakavyokuwa Small Sam...chezeya BR wewe!
Ndo maana nikasema ChelSHIT wanategemea matokeo ya game zngne, na mm Man city hatok kwangu..
Ni kweli na lolote lawezekana. Ingependeza Pool na City wakatoka sare. Hapo ndipo asiye mwana kuelekea jiwe.
Pool wasiponyakua ubingwa mwakani watashuka daraja
CONFIRMED LFC team against WestHam: Mignolet, Johnson, flanagan, Sakho, Skrter, Gerrard, Henderson, Coutinho, Sterling, Sturridge, suarez
SUBS: Jones, Toure, Cissokho, Lucas, Moses, Allen, Aspas
Sakho The BeasT...
Sakho The BeasT...
Leo mkuu,tunapata ushindi nje nje.Ni muda wa Suarez kuweka historia mpya.
"Nlikuwepo":bolt:
Me siwezi kutoa draw na Man shitty mkuu, Na wala siwez kufungwa na Chelshit...