Hongera tatizo kauli na vitendo ni mambo mawili tofauti. Pool watafungwa na hizo timu bila zengwe.
Naomba usitukimbie. Maumivu Makali yapo njiani.
Me sikimbiagi mkuu, na tunaanza sahiv na WestHam..nipo humu humu..
West Ham ni uji mlaini. Lakini wale miamba ni simulizi tofauti.
ushindi lazima
Kidogo hatujatulia,ila tunashinda leo.
"Nlikuwepo":bolt:
Akifungwa Pool Leo itakuwepo vurugu kubwa Anfield maana matarajio ya ubingwa hayazingatii hali halisi.
Lengo letu ni kuingia UEFA,ubingwa ni ziada tu.
"Nlikuwepo":bolt:
Hay malengo yanawezekana.
Hay malengo yanawezekana.
hiii game halika tunashinda .
Tim haija tulia tuu wachezaji hawajawa makini kivilee