Kwa leo jamani: thanks everybody:
cc; Ntuzu, Mentor, Mosdef, Gwahamala, Baba Kevin, Tisha-TOTO, Al-Shapton;
thank you all for the arguments, i hope you enjoyed!🙂
i'll be here kesho;
CHELSEA FC - THE BLUES:first:
Mkuu agosti 8 Pamoja sn Mkuu! Mi nilikua tight Kidogo!
Hii thread imependeza sn kwa mijadala km hii Nafikiri washabiki Wa soccer kiasi Fulani tumeona Mpira Kua ni UPENDO NA URAFIKI kikubwa ni kujadiliana kwa lugha nzuri!
Pamoja sn wakuu!
Ni kawaida ya mashabiki Wa Chelsea coz tunashabikia timu imara chini ya kocha bora na tunaweza! Na pia ukianzia kwa kocha mpk mashabiki wote ni waongeaje!
History belongs to YOU. but we CONTROL THE PRESENT .. you had your time;
Ushindi mnono wa kesho utazidi kuwachanganya chelsea nadhani kabla hawajaja anfield tar27 watakuwa wamejihalishia vya kutosha
Mkuu hata mimi siamini kama LFC atashinda mechi zote zilizobaki.Win tomorrow be crown the New Kings in town. Congratulations in advance. Najua Pazi hutaamini liverpool kubeba EPL kwa mara ya kwanza baada ya miaka yote ya kujaribu.