Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu mpira sina Amani nao tunavyocheza mpira nyuma tunatakiwa tukimbize jamaa wapate ma card huku nyuma bado sielewi Sakho na Skertel kwanini hawanyanyui mpira wanapigiana chini na kumpa Kipa Huyu Kipa wetu hajui kupiga mpira tukiendelea hivi kipindi cha pili tutakuja kujuta, sehemu moja nimemsifu Rogers kumshusha Chini SG kuliko Lucas jamaa Lucas anagawa sana mpira na Foul. Henderson bora asingepata Red.
 
Lucas hayuko vizuri, labda kwa sababu anacheza nafasi ambayo si yake. Mashambulizi yanaanzia I pande wake. Haya majamaa hayatabiriki hadi dakika 90 ndo nitapumua. Let's hope
 
Game hapa ni HT tuko mbele kwa magoli mawili ya Sterling na Suarez. Wao hawajapata kitu.
 
Ni kweli hawa jamaa wanatisha na handerson ni pengo leo. Ila usiwe na wasiwasi mkuu. Tunashinda game hii.
 
Karibuni tena ktk kipindi cha lala salama kwenye mtanange mkali kati ya Liverpool dhidi ya Norwich. Kwa niaba ya wote watakaoshiriki hususani babtutu, Ntuzu, Job K na wengineo mimi Skype.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni timu yenye msimamo wa kutopanda wala kushuka, yani ifunge, ifungwe, itoe suluhu iko palepale.

Wang'wiswe ghashinaga uli-Man U? Nafasi ya 7 imeshakuwa na ubia na nyie, naona mpaka mtamaliza ligi mko hapo hapo!!!
 
Dakika inakwenda ya 48 bao bado ni Liver 2 - 0 Norwich
 
Wang'wiswe ghashinaga uli-Man U? Nafasi ya 7 imeshakuwa na ubia na nyie, naona mpaka mtamaliza ligi mko hapo hapo!!!

Nakwambia la kuvunda halina ubani,...
Goooo...laa wanakosa tena liva hapa
 
Naona timu hizi zinashambuliana kwa zamu hapa na kwa hali hii lolote laweza kutokea.
Haya dakika ni ya 51 sasa
 
Norwich wanaöekana wameamka sana kipindi hiki cha pili na wanaonekana kuleta mashambulizi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…