Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu naona 2nd half vimekuja na hasira!! vinatuchezea nusu uwanja. ndani ya dk 7 vimepata kona 2!!
 
Goooo...., Norwich wanapata bao la kwanza hapa dakika ya 53
 
Tayari vimetutungua! Sijui shida yetu huwa ni nini? 2nd half huwa tunadorora sana!
 
Nimesema Norwich wameamka na wanashambulia sana, sijui tatizo nini kwa liva, eti Job K hebu elezea hapa nini shida?
 
Last edited by a moderator:
sasa hivi tu utasikia wamechomoa hizi goli mbili,si mnakumbuka game na man city ilikuwa hvhv? Dah! Hapa ndo huwa nachoka na timu yangu
 
now nimefika na mm kutizama hii game live maana mambo ya kuhadithiwa sio kabisaaa.

kwa game kama hizi maana baadae kuna mabulumuntu
 
Leo ndio mtajua Norwich ni ndudu gani.
 
Norwich wanazidi kupeleka mashambulizi kwa liva, hali ni tete kwa umilishi wa mpira.

Ahaa ghafla liva wanakwenda paleee gooo laa hapana goal kick
 
dah, hawa Norwich wananifanya mpaka nashindwa kula pilao yangu hapa. Hatari sanaaa..
 
Nimesema Norwich wameamka na wanashambulia sana, sijui tatizo nini kwa liva, eti Job K hebu elezea hapa nini shida?

Hapo Mkuu ndo huwa nachoka timu yangu. Ila tumetupia cha 3 Sterling! Sasa hili sijui litahesabiwa kwa Sterling au OG!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…