Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liva wanaonyesha kandanda safi sana leo japo ni wapinzani wangu ila si vibaya kuwasifia pale wanapostahili
 
Jaman kule ndugu zenu wamekimbia uzi wao vip huku hawajafika jamani!?
 
Lango LA Chelsea liko kwenye msukosuko! Ball possession ni 75 kwa 25!

mpira ukiendelea kwa kasi hii mtawafunga chelsea magoli mengi tu ila inabidi mumchunge sana BA maana ana ngekewa kama Chicharito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…