Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liva mkienda hadi kipindi cha pili hamjamfunga morinyo itakua imekula kwenu maana akirudi lazima aweke garimoshi la mizigo mizito
 
Liva mkienda hadi kipindi cha pili hamjamfunga morinyo itakua imekula kwenu maana akirudi lazima aweke garimoshi la mizigo mizito

mkuu hilo gari mosh lipo toka dakika ya 2 na to be honest Liver inabidi wafanye kazi ya ziada kupata gori maana hili contena ni zaidi ya lile la Big Sam.
 
mkuu hilo gari mosh lipo toka dakika ya 2 na to be honest Liver inabidi wafanye kazi ya ziada kupata gori maana hili contena ni zaidi ya lile la Big Sam.

Msitafute sababu..😉
 
Ashley cole kumbe sasa ni ndugu zetu wale wenye siasa kali! Huyu atakuwa ameshawishiwa na Muhamed Salah.
 
naona anawalia timing tu..

alivyo mjanja kipindi cha kwanza ameficha garimosh halionekani dhahiri ila kipindi cha pili latawasha na taa na kupiga honi mwanzo mwisho, namjua sana huyu kocha ana vimbinu vya kumhadaa mpinzani wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…