Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

:shock: POLENI SANA MAJIRANI.

wewe fanya kazi yako kwanza vs CP the london team; alaf ndo uanze kuombea wenzako kufungwa.
still kombe ni letu as Connor wickham a born.liverpool fan alivyowanyamazisha chelshit na man city ndivyo hvy hvy leyton baines and barkley two born liverpool fans watakavyoibyamazisha man city this saturdei....just wait n see
 
uzuri wanaanza kucheza evertn vs man city jmos then chelshit vs norwch jpili then cp vs liver j3....adui muombee njaa
 
still kombe ni letu as Connor wickham a born.liverpool fan alivyowanyamazisha chelshit na man city ndivyo hvy hvy leyton baines and barkley two born liverpool fans watakavyoibyamazisha man city this saturdei....just wait n see

Gerrard nae atafanya Yale aliyoyafanya Jumapili
 
:shock: POLENI SANA MAJIRANI.

wewe fanya kazi yako kwanza vs CP the london team; alaf ndo uanze kuombea wenzako kufungwa.

noted! This is what i always prefer! Make man city anaweza kudroo,na sisi tukadroo na c.palace,yanakuwa yaleyale tu.
 
FA wanataka Liverpool wabebe kombe this season!!!

Mark Clattenburg ndo refa wa game yetu ya J3 against CP...

hahahaha!!!
 
Jagielka & Baines both fit for saturday!!!

najua some of the #BlueNoses wanataka team yao ipoteze Tu, ili Liverpool itoke kabisa kwenye title race..

But i know Martnez wont allow it, coz they need a point kucheza Europa..and pia bado wana nafas ya kuingia UCL..

Damn, i dont believe am saying this, #InEvertonWeTrust .
 

hahahahahaha! U made my day mkuu! Btw,we have to win our final two games,no matter what mancity are doing!
 
hahahahahaha! U maf my day mkuu! Btw,we have to win our final two games,no matter what mancity are doing!

Tatizo linalokuja ni kwamba kama Man shitty akishinda game ya jmoc, pressure itakuwa kubwa zaid kwa Liver kwny game ya J3..

So naombea iwe draw au Man shitty wapotee..nadhan game ya J3 tutacheza kwa utulivu zaidi aisee!!!
 

Aguero & Toure are also back
 
Aguero & Toure are also back

Aguero hajarudi kwenye form yake bado..ila ni game ambayo Everton itabid watusaidie either kwa draw au kushinda..coz baada ya hyo game Mtu wao hatari Silva anarudi..So game ya Everton ndo kila kitu..kabla DAVID SILVA hajarud against Aston Villa and WestHam...
 
Bayern Munich wamecheza kama mlivyocheza: Real Madrid wamecheza kama tulivyocheza. Sasa umeona kilichotokea jana?

Mpira magoli rafiki: Bayern Munich 64%, Real Madrid 36%.
Mkuu hapo utaiaibisha Chelsea kufananisha na Real Madrid Jana Chelsea walikuwa na Plan ambayo sio kucheza mpira ila Real Madrid Kuwa na Asilimia ndogo Kimpira haikumaanisha Real. Madrid hawakucheza mpira Real Madrid waliocheza Mpira na hawa kupoteza muda kwenye kucheza huo mpira ila bayern waliocheza mpira kwa kukaa nao na gonga nyingi mpira shut ila nje alikuwa ni Kroos tu na Alaba kwa ujumla walifungwa mapema goli na haikuwazuia Real Madrid kuitafuta jengine na hakuna hata goli waliolipata kwa makosa waliyapata kwa Good football game. I hope ya Chelsea na LFC yashmak wish tuangalie game zijazo sijasema Kama Chelsea na LFC Game plan ayo mbaya ila ukweli hakuna football waliocheza ya kufananishwa na. Game ya Real na Bayern Chelsea haikuwa tofauti na waliolifanya West Ham kwa Chelsea Hilo ndio la kufananishwa.
 

Nlikua sina mpango wa kuchangia ila imenibidi umenichekesha sana..ts better we loose the cup than trusting in evertonees
 
bora watusaidie hata kwa draw tu!!!

hamjazoea kombe la EPL nyinyi. lilikuwa mikononi mwenu mmeliangusha kwa kutelezateleza hovyo...mtazoea tu subirini miaka mingine 20 mtalipata.
 
hamjazoea kombe la EPL nyinyi. lilikuwa mikononi mwenu mmeliangusha kwa kutelezateleza hovyo...mtazoea tu subirini miaka mingine 20 mtalipata.

Kilichomtokea Gerrard, kinaweza kitamtokea mchezaji mwingne yoyote yule..

Ntaanza kuongelea kuhusu title tena baada ya Tarehe 5..
 
Liverpoolfc ndo bingwa msimu huu,anachotakiwa kufanya ni kushinda mechi mbili zilizonaki!!! Mechi ya Mwisho ya Man City dhid ya West Ham ndo itathibitisha!!!!!
 
Kilichomtokea Gerrard, kinaweza kitamtokea mchezaji mwingne yoyote yule..

Ntaanza kuongelea kuhusu title tena baada ya Tarehe 5..

sawa endeleeni kuomba msaada kwa akina everton lakini msisahau na nyinyi kushinda mechi zenu.
 
sawa endeleeni kuomba msaada kwa akina everton lakini msisahau na nyinyi kushinda mechi zenu.

Game zote mbili ni Lazima tushinde..then tunatulia kuona kitakachotokea..
 
Liverpoolfc ndo bingwa msimu huu,anachotakiwa kufanya ni kushinda mechi mbili zilizonaki!!! Mechi ya Mwisho ya Man City dhid ya West Ham ndo itathibitisha!!!!!
Tusahau mkuu usitegemee LFC kushinda tena Mie nimeshakata tamaa zamani sie wenyewe tumeshindwa kujisaidia itakuwa wengine watu Sadie? Kwanza Palace kutakuwa kugumu kweli! Naona watu wanasema sana kuhusu LFC kuweka walinzi Ready kwa Parade ya ubingwa ila watu wanashindwa kuelewa Game ni chache zimebaki na siku ni chache zimebaki Parade sheria timu zote zinaweka maandalizi ikifika muda Kama ule mapema sababu ni zipi tukumbuke Final Barca Na United pia United waliweka Maandalizi ila Council almashauri ya Jiji la Manchester City bado siku moja Barca na United kucheza walivunja isifanyike Sherehe za ubingwa sababu baaazi ya ma police walikuwa ngono, bahati mbaya au nzuri United haikushinda kipindi kile na sio timu inayoandaa timu inakuwa inataka kufanya Hilo ikiiishinda ila Almashauri ya Jiji inatowa Kibali na kupelekana Zile sehemu za vituo za kutafuta wafanya kazi mapema ili majina ayo ya wafanyakazi yawe kwenye orodha ikija kutokea Fujo au Vifo wanajuwa nini wafanye sio tu Kama kwetu jambo la jioni unatafuta wafanyakazi asubuhi mwisho mgonjwa unampa atibiwe na mtengeneza magari, timu zote 3 zimejiandaa ndomana hata FA wanasubiri game ya mwisho wajue Kama timu zote 3 ubingwa utajulikana ni game ya mwisho nasikia Kombe moja litaazimwa Blackburn la Fake, Original litakuwa Manchester.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…