Mfupa uliomshinda fisi....nani atauweza
Liverpool wamefulia, 4 bora watasikia redioni.
yaah, walitucheka sie. Wahenga walisema ukiona jirani yako ananyolewa tia maji nywele zako.
sijitambui................
Liverpool wamefulia, 4 bora watasikia redioni.
acheni jamani inatosha
leo unadunda, kesho unadundwa!