MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Ni Egos ndio imemponza Rogers ndomana nampenda Wenger hana maneno na mtu watu ndio wanamtafuta mtu unatakiwa uwe Cool! Mashabiki wake tu Arsene ndio ovyo Rogers anajisikia abadilike hapo tu ila haibadilishi kama ni Manager mzuri atajifunza, Mosdef wacha kulalamika ndio ishapita tena ikirudi wanasema Pancha na Pancha ndio matairi yashapata kama nilivyokwambia jana ili Pain ila kwenye ndoto nishamaliza nipo Reality na kukumbuka hakuna aliyefikiria tutakuwa hapa so top 4 sio mbaya mwakani ndio alalamikiwe huyo unayemuongelea na timu tumefika Top 4 kutoka 6 mwakani lisipofanyika kitu ndio nitakupa hata Gun nenda kamalize mtu pale LFC, Arsenal kila siku walipiga kelele na Wenger siumeona huu mwaka watabeba ndio football na watu wakawaambia kama wanavyosema sasa hivi ah LFC mwakani ndio basi tena, wanajisahau LFC ilipotoka. Kama ww na timu hii iliyotoka 6th mpaka top 4 unalalamika je Man U walalamike vipi au timu kama Chelsea walalamike vipi? Wakati hao walitegemewa sie juhudi ndio ilipotufikisha siwezi kuilaumu LFC Mwakani mungu akituweka hai ndio nitajua kuilaumu wapi. Ila tu Lucas aondoshwe na wawepo watu ambao anaweza kuwekwa Bench.
Kinachoumiza zaidi ni kwamba Tulikuwa close sana na PL title..but we blew it away!!
Anyway, Yote ni heri tu, lakin apart from Lucas, pia sakho, Cissokho, GJ, Moses, Aspas waondoke watuachie team yetu tu!!!