Liv 0-1 New 40'
Line up ya leo imekaa poa sana laiti kama ndo tungekuwa nayo kuanzia mechi ya chelsea leo tulikuwa tunasema mengne kabisa!!
Line up ya leo imekaa poa sana laiti kama ndo tungekuwa nayo kuanzia mechi ya chelsea leo tulikuwa tunasema mengne
ila fresh tumepata nafasi ya pili...!?
Line up ya leo imekaa poa sana laiti kama ndo tungekuwa nayo kuanzia mechi ya chelsea leo tulikuwa tunasema mengne
ila fresh tumepata nafasi ya pili...!?
ubingwa hamtaki tena?
ubingwa hamtaki tena?
Tunabeba ndoo hii...come second half.
Tunabeba ndoo hii...come second half.
mimi yangu macho
ubingwa hamtaki tena?
Whatever happen today we are LIVERPOOL
Karibuni kipindi cha pili