Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Former LFC Luis Garcia post this
mkuu England hakuna timu pale hata siku moja Manager huwezi kuiga mfumo anaochezeshaRogers au kusikiliza Media ndio upange timu Hudgson bora Hoddle unapataka wacheze Kama LFC unaharibu wale wengine kuelewa game tizama goli la Jana Rogers boys lile goli wameonana vizuri ndio ila Johnson alivyokwenda wachezaji wengi wa England wali freeze hawaelewi kinachotendeka ni Rooney tu sababu anayo akili ya football ndio katokea wangechanganya timu wengine Wakae bench Carrick na Ashley Cole hata Ashley Young hakufanya vizuri ila alitakiwa awepo acheze wing kushoto Fundi wa England mbovu timu SG akistahafu itakuwa nzuri ila bado sioni kufika mbali Media iwape pumzi na fundi awe wa maana mtu Kama Jagielka beki gani Yule? Alikuwa anamsumbua tu Cahill kucheza nafasi mbili anachoka na SG ndio basi lazima LFC pia itizame Hilo bora Smalling kucheza na Cahill.
 
kwa mwendo ule,Fantastic captain lazima atafutiwe mbadala fasta,he's tired now,hata akicheza acheze dakika 60 tu season ijayo! Ishu ni kwamba,who is to replace him?
 
kwa mwendo ule,Fantastic captain lazima atafutiwe mbadala fasta,he's tired now,hata akicheza acheze dakika 60 tu season ijayo! Ishu ni kwamba,who is to replace him?

Tatizo letu watanzania, ni kuzikubali na kuzifuata ideas au comments za pundits wa kizungu bila kushirikisha mawazo yetu binafsi!!!

Katika game mbili za England kwenye WC, sijaona makosa yoyote ya Gerrard, walichokosea England, ni ufinyu wa tactics za ushindi kutoka kwa Roy, Kwa mfano kwenye game ya uruguay, sikuona umuhimu wa kumpeleka RS wide, wakat kwenye game ya italy alcheza vizuri number 10, and how can u start Welbeck badala ya Barkely?..Hendo alikuwa anafanya kipi, zaid ya kupia square passes tu?, kwann asingemwingiza Wilshere ili amakamlaisishie kazi SG?..Game ya kwanza Rooney alikuwa ni mzigo kwenye kwenye team, lakin kwa kuwa pundits wengi wa england wenye mlengo wa man utd hawalipigia kelele sana hilo, basi na watu humu ndani hamjaliona hilo, baines alikuwa flop kwenye game ya italy, magoal yote yalitoka upande wake..

But, leo ule mpira alioufrik SG, ndo umeleta maneno kuwa SG kachoka!!!!!..

SG, msimu huu kacheza game zaid ya 51 katika ngazi ya club, na he played katika defensive role, alikuwa na kazi ya kuwacover kina MS, na kazi ya kuhakikisha mipira inawafikia kina Diaz, alikuwa na kazi ya kuzuia na kutibua moves na mashambulizi ya team pinzani katika League NGUMU kabisa duniani, he had to battle with the likes of Fernandinho, Ramirez, Flamini, Matic, Wanyama, Barry, Mccarthy, Dembele, Sandro, Akiwa na umri wa miaka 34, amecheza kwa nguvu game zote 33 za PL alizocheza msimu huu, kama kiungo mkabaji, na alienda Brazil kuiongoza England, je kina rooney na kina henderson gave him enough support??.No?, lilikuwa ni kosa lake Barry kutokuitwa kwenye kikosi na Roy?..No!..lilikuwa ni kosa la SG, kwa roy kuiga mfumo wa BR, na wachezaji aina ya Welbeck na kina jagielka?..No!..Ilikuwa ni kosa lake Roy kubadilisha role za RS, Barkely na lallana walivyoingia uwanjani?..No!..Lilikuwa ni kosa la SG, Roy kumprefer Hendo dhidi ya Wilshere?..No!..welbeck dhidi ya barkely au lallana?..No!..baines dhidi ya Ashley cole?..No!..au kuforce combination ya Cahil na jagielka kwenye WC?..No!.. so why blame SG?

Na inashangaza kuona kila sehem waingereza (manure, chelshit, Arsenal, spurs, everton etc fans), wanamlaum SG kwa kutokuwa na impact yoyote, je Xavi, iniesta, xabi alonso, Diego costa, Pedro, Burgos, walikuwa na impact gani kwa spain?, CR7 (mchezaji bora wa dunia) alifanya kipi dhidi ya Germany?, Rooney zaidi ya lile goal, alikuwa na impact gan kwny WC hii, hasa hasa game yao na italy?..Andrea Pirlo, kwenye game yao ya Jana dhidi ya Costa rica, alifanya kipi? alicomplete pass ngapi?..na ikumbukwe pirlo ni tofauti na SG, yeye anacheza katika free role, afu anakabiwa mipira na kina De rossi na kina verrati..lakina jana dhidi ya costa rica he went missing!!, lakin angekuwa SG, ingekuwa balaa sana!

SG, ameanza kuichezea LFC, tangu akiwa na miaka 17, katika miaka yote hiyo mpk sasa 34, kuna vipind alishacheza mpaka number 2, na anacheza kwa nguvu ile ile, kwa sababu ya mapenz yake kwa team..at the age of 33, he agreed to play katika defensive mid, coz Lucas was not impressing anymore, and he played better than lucas did for the past 4 years...Amecheza role ngumu kwenye kikosi kilichokusanya wachezaji wa kawaida sana, tofaut kama angecheza hivyo Man city, Barca, madrid, bayern au chelsea..

SG, hajachoka, BR, alshasema, baad a ya WC, LFC wataangalia mustakabali wa SG kuhusu kustaafu kuichezea England..

Bado ana muda mrefu sana wa kuichezea LFC..

England ni team mbovu tu, ilishindwa kutamba enzi ina kina Becks, owen, SG kijana, Haiwez kutamba sahiv ina kina welbeck na sturridge, na beki aina ya Jagielka!
 

Maelezo mazuri na yamejaa ukweli, England hawajawahi kuwa na competitive team zaidi ya maneno mengi na majigambo ya kuwapaisha wachezaji wao period
 
kwa mwendo ule,Fantastic captain lazima atafutiwe mbadala fasta,he's tired now,hata akicheza acheze dakika 60 tu season ijayo! Ishu ni kwamba,who is to replace him?
Lazima tukubali bana SG ameanza kucheka sio Yule Box to Box kuhusu England kile kichwa sheria mpira kati lazima ujaribu kupiga kichwa so kimemparaza utumbo pale hakuwa ni SG ni beki kutotizama Mpira unavyokuja na adui amekaa sehemu gani huo ndio ukweli ila pia tukija kwa SG tusipinge Kama kasha choka anacheza sababu anapenda kucheza LFC tukiiacha msimu huu ndio kafanya vizuri lazima ipate watu SG anatokea Bench au anacheza dk chache sana na sababu next 2yrs hatokuwepo bora waje Middle ambazo zije kuzoeana mapema, SG SG nishachoka Mie natizama mafanikio ya LFC baadae mpira wa siku hizi kwanza unatisha wachezaji hawaaminiki miaka miwili kaondoka sitoshangaa Raheem mwakani kuondoka tumuache Rogers afikirie nani wakuja sio Players Kama wanao kwenda Totenham spurs ili wajulikane wapate timu baadae za kwenda.
 
As England trailed 1-0 with 20 minutes to go, frustration tore through Gerrard and he was booked for a late and heavy challenge on Cristian Rodriguez.
He was bounced off the ball by Suarez early in the game, allowing Uruguay to counter quickly. It was a reminder that he lacks a defensive instinct. The priority was to ensure Suarez did not escape beyond him with the ball but he tried to win it, got out-muscled and England were exposed.
It was not easy.
Uruguay's movement and tempo were excellent. They were inspired by Suarez and the tactical tweak by coach Oscar Tabarez to play Nicolas Lodeiro behind the strikers, which kept Gerrard and Jordan Henderson occupied.
Gerrard's conversion is not complete. Perhaps it never will be. His instinct is to play freely and fairly, not to stop others.



kwa mwendo ule,Fantastic captain lazima atafutiwe mbadala fasta,he's tired now,hata akicheza acheze dakika 60 tu season ijayo! Ishu ni kwamba,who is to replace him?
 
that's life; ukipewa mengi unadaiwa mengi. :third:
 
Suarez na tukio la kung'ata tena,kwa mara ya tatu! Sipati picha vyombo vya habari vya England kuanzia kesho!
 
mkuu tayari vyombo vya habari vya uingereza vishaanza kufanya yao hawasubiri kesho.
ukiwaacha vyombo vya Habari kufanya mambo Yao kusema kweli ndio kafanyia Uruguay kwenye timu yake ya Taifa ila si mara ya kwanza Ajax, LFC matokeo mengi wamempa msaada wakupitiliza haya na Uruguay tena kusema kweli Mie Kama Mie japo ni tukio la Uruguay kusema kweli Suarez akabaki LFC tujitaharishe matokeo mengine Mabaya kutokea sababu Baya linakuwa kubwa kuliko Zuri hasa kwenye Media za siku hizi, Luis Suarez auzwe tu ok kuna watu watapendwa auzwe nje sababu tu sio matatizo yake naongelea timu za EPL kwa kutaka LFC wakose tu akibakiswa timu zengine watasema oh kwanini LFC inambakisha mtu mkorofi ila huwaoni wakisema kwanini Barcelona na Real Madrid wanamtaka mtu mkorofi? Wengi raha Yao Media na EPL team zengine ni Suarez aondoke, Mie nataka aondoke tu sababu nishachoka najuwa atakuja tu kufanya mengine na LFC tutakuja kupigwa fine nyingi na kutuharibia mengi LFC wachukue tu million 50 kwa Real Madrid au Barcelona na Naapa Kama Suarez akibaki nitakuwa mshabiki wa Liverpoolfc bado ila sitotizama game hata moja ambayo Luis Suarez atacheza nataka Real Madrid na Barca wamchukue Pengine huko atapata daktari wa ubongo ila pia najiuliza nao kwanini wanabeba Hilo tatizo? LUIS SUAREZ AKIBAKI LFC SITIZAMI GAME ATAYOCHEZA HATA MOJA MPaKA AONDOKE! Nitakuwa LFC bado bora timu hata iwe mbovu ila sio mtu Kama Yule awepo LUIS SUAREZ aondolewe LFC wachukue tu pesa.
 
mkuu Pazi,nakuunga mkono kwa yote,yule jamaa asepe tu,atakuwa ana lake jambo,sio bure! Tutampata striker mwingine na maisha yataendlea,walikuwepo mastriker matata kama Folwer,Owen,Torres,wakaondoka na LFC ikabaki atakuwa Suarez? Mmh,ila hiyo ahadi yako itakuwia vigumu kuitekeleza jamaa akibaki,make hutaangalia game zetu msimu mzima! Una moyo!
 
Last edited by a moderator:


Hongereni wakuu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
naona sakho akiwa national team anafanya vizuri, why not akiwa LFC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…