Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tukimpata left back Moreno na tukimpata Bonny Liverpool itakuwa bingwa!!
 
Tukimpata left back Moreno na tukimpata Bonny Liverpool itakuwa bingwa!!
kutwaa ubingwa we need an X-factor and Bony sio na sloppy Gee alishajimalizikia, people like Reus, wangetufaa

modern soccer inahitaji one marksman na tunaye Sturridge, all we need ni balance na skilled attacking midfielders (ingawa tunao lakini jembe moja kama reus, lewondowski au gomez ni muhimu).

Kuhusu Moreno, ni kweli kabisa, we need a new left back, Glen ni kama bajaji tu
 
Biashara ya Moreno imekuwa ngumu.

Kuna option ya Davies wa Swansea kama Moreno haji!Left back anatakiwa sana maana Enrique ni liability ingawaje akiwa fit ni mzuri sana
Haya mamilion ya Suarez hatuwezi mkosa striker mzuri!Namuamini sana B.R!Hata Muller ukienda na hela nzuri wanamtoa maana alikosana na Pep na kaja Lendo
 

do you mean jon flagan or,,,,,??????
 

nimemsoma BR jana baada ya mechi,anasema ana uhakika wa kumpata striker wa maana! Na hata huyo Suarez ni yeye ndo aliyemtengeneza akawa hivyo,kwa hiyo ataleta mchezaji mwenye quality ili aweze kumu improve...kasema suarez mwenyewe ndo aliyetaka kuondoka,walijitahdi kumshawishi abaki ikashindikana...anasema hata hvyo hakuwaambia mapema kama atakuwepo au ataondoka..
 
Mkuu, Gerrard ameshazeeka sasa na yeye kubaki kucheza week in, week out kutatupozesha points za bure. Last season alicheza vizuri lakini kumbuka ni henderson ndo alikuwa anafanya kazi yote, mimi naona kuliko kusubiri hadi a-retire, tuanze kum-phase out this season. Can ni noma..jamaa anacheza defensive MD with discipline and hard-work.

Liverpool defence ndo inanipa worry sana sana..hata mechi ya jana, smh..jamaa aliyetufunga goli la pili kapiga chenga wote..sema najua re-enforcements zitakuja.
 
My best player ther hujamuweka,anaitwa Joao Carlos Texeira! Safi sana huyu dogo,hebu muangalie kwenye game yetu na Brondly leo saa moja jioni,utaniambia.

Nilimwona leo..sema LFC ile mechi kama wamelazimishwa kucheza vile..Jordan Ibe ndo alikuwa anajaribu..mbeleni, Jordan Ibe anaweza akawa kama Sterling vile.
 
AC MILAN wameshusha bei ya Mario Baloteli mpaka kufikia $14M.So Liverpoolfc looks to sign him within the coming week.

Bora nibaki na Borini...yule jamaa ni mzuri sema ni sumu ya dressing room.
 
Reus kweli..sasa squad yetu ni nzuri sema hatuna yule Star man wakutuvusha the last final step..mwaka jana alikuwa Suarez na tulikuwa bado kidogo tu-toa ile slip. Mwaka huu hatuna bado..Markovic, Lallana, Can, Henderson, Allen, Coutinho wote ni wazuri sana sema they dont have that appeal, they dont threaten the opposing side when you see them on the team sheet..Liverpool tunahitaji huyo mtu. I hope tumpate Reus for the sake of all of us.
 
Tukimpata left back Moreno na tukimpata Bonny Liverpool itakuwa bingwa!!

Bony ni striker wa second tier team kama Everton..akija Liverpool ategemee bench au kuwa second striker. Ni mzuri lakini he doesnt have enough quality to lead us to prosperity. Alafu yupo slow..mpira wa Liverpool ni fast paced, mtu kama Bony hawezi fit in.
 

Sasa kwenye hii market ya sasa ilivyo saturated na akina Mourinho tutampata nani recognized striker achukue nafasi ya Suarez?
 
Sasa kwenye hii market ya sasa ilivyo saturated na akina Mourinho tutampata nani recognized striker achukue nafasi ya Suarez?

Griezmann yule mfaransa..na Benzema yupo unhappy nasikia. Inabidi tu aim top quality, si hawa wa kawaida kawaida.
 
Griezmann yule mfaransa..na Benzema yupo unhappy nasikia. Inabidi tu aim top quality, si hawa wa kawaida kawaida.

Benzema akija daaah mapema kabisa Jogoo la Anfield anawika!Niliwahi soma kuhusu Pedro sijui ilifikia wapi?Pedro anajua sana kutupia kambani yule Latino
 
Benzema akija daaah mapema kabisa Jogoo la Anfield anawika!Niliwahi soma kuhusu Pedro sijui ilifikia wapi?Pedro anajua sana kutupia kambani yule Latino

Pedro tayari Baca wamemtoa kwa mkopo club moja ya ureno,Tello siyo Pedro.lakini ikumbukwe Baca wamekuwa wagumu kuiuzia liver mchezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…