Hahahaha!!!
Xabi hawez kuachiwa hata kidogo pale madrid...
|Modric. Alonso. Kroos.|
Kusajiliwa kwa Kroos lazima kiungo mmoja atauzwa kumbuka kuna Alonso,Mondric,Isco,Ilaramendi,Khedira na Kroos,msimu uliopita Khedira na Alonso walikuwa majeruhi ikabidi Di Maria arudishwe kati.So far Khedira ndio anaonekana atauzwa last season muda mwingi timu ilicheza bila yeye kuwepo na ndio mchezaji ambaye wakimuuza watapata helaHabari hii ipo skysports!!
Khedira haondoki kwa hiyo itakuwa [Khedira/Modric/Kroos]
Mbele anaongezeka James Rod na Falcao kuwaondoa Di Maria na Benzema!
Liverpool inaweza mpata pia Benzema!!
Kusajiliwa kwa Kroos lazima kiungo mmoja atauzwa kumbuka kuna Alonso,Mondric,Isco,Ilaramendi,Khedira na Kroos,msimu uliopita Khedira na Alonso walikuwa majeruhi ikabidi Di Maria arudishwe kati.So far Khedira ndio anaonekana atauzwa last season muda mwingi timu ilicheza bila yeye kuwepo na ndio mchezaji ambaye wakimuuza watapata hela
Habari hii ipo skysports!!
Khedira haondoki kwa hiyo itakuwa [Khedira/Modric/Kroos]
Mbele anaongezeka James Rod na Falcao kuwaondoa Di Maria na Benzema!
Liverpool inaweza mpata pia Benzema!!
nadhani Khedira ndo anayeweza akaondoka!!
Eheheheh labda aende Darajani maana Wenger kaisha tumia hela yote kwa Sanchez na Debuchy!
Akimchukua Khedira na yule beki itakuwa Wenger katumia karibia pound Milion 100!Wenger atumie hela hizo zote thubutu ehehehehe
reports za spain zinasema Arsenal na madrid walikuwa washakubaliana kwa deal ya £25m..lakin kwenye personal terms ndo ilikuwa problem, Khedira wanted approx £150k per week..
He's almost 28 years old na ni injury prone..
so nadhan wenger ameconsider hizo factors, ndo maana imekuwa ngumu kukubaliana katika personal terms..
sera ya arsenal hairuhusu mchezaji yeyote kulipwa zaidi ya 130k ndugu!
habari zinazoenea sasa hivi ni Isco kuuzwa na LFC zinasema wanatolea macho sasa hivi LFC wataambiwa kila mchezaji wanataka wao LFC isibabaike na majina ila Isco Mzuri Alonso kawa World Class Hapa Torres kawa World Class hapa Suarez kawa World a Class hapa so bila kununuwa World class tunaweza kufanya mchezaji Kuwa World Class Player soon atatokea Raheem sterling! Na wanaosema Suarez aliibeba LFC Kama Pasi alijitengenezea Ok ila kweli alifanya juhudi nyingi za maana heshima tu nampa na tut aendelea kumpa.
Alexandre Pato baada ya kuondoka AC Milan karudi kwao Brazil!Huyu angetusadia sana maana ana miaka 24 tu na anajua sana kutupia kwenye kamba!!
Vipi wakuu nachikia mmechezea kichapo .... .... ..... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wakati huo huo Sure Boy mliyekataa kutuuzia amepokelewa
kwa shangwe na nderemo kule Uhispaniola.
kwa sasa priority ni left back, center half na striker wa hali ya juu or at least a proven number 10, i would go fo Reus ahead of ISCO kwasababu Isco is no better than Raheemhabari zinazoenea sasa hivi ni Isco kuuzwa na LFC zinasema wanatolea macho sasa hivi LFC wataambiwa kila mchezaji wanataka wao LFC isibabaike na majina ila Isco Mzuri Alonso kawa World Class Hapa Torres kawa World Class hapa Suarez kawa World a Class hapa so bila kununuwa World class tunaweza kufanya mchezaji Kuwa World Class Player soon atatokea Raheem sterling! Na wanaosema Suarez aliibeba LFC Kama Pasi alijitengenezea Ok ila kweli alifanya juhudi nyingi za maana heshima tu nampa na tut aendelea kumpa.
kwa sasa priority ni left back, center half na striker wa hali ya juu or at least a proven number 10, i would go fo Reus ahead of ISCO kwasababu Isco is no better than Raheem
kwa sasa priority ni left back, center half na striker wa hali ya juu or at least a proven number 10, i would go fo Reus ahead of ISCO kwasababu Isco is no better than Raheem
Hata Benzema sio mbaya....na anauzwa pia...
tatizo la mtu kama Benzema ni price yake and his ambitions, coming to liverpool may make him and his pride deflated, not every one anaweza kuhandle hiyo situation... afterall Liverpool style of play sijui kama itampendeza jamaa au yeye atafit Liverpool
He misses too many chances because of game pace; we need a person who can run defenders and has quick feets, otherwise ni bora kuinvest on orthodox number ten to feed Sturridge and Lambert
My ideal player would be Sanchez but he picked arsenal... kwa sasa Lukaku angependez zaidi
Tubane zaidi kule nyuma na kukaza zaidi katikatika magoni yatapatikana tu, with lallana, countinho, sterling, markovic, Ibe, Allen, sturridge, Lambert, Texeira, and possibly watson... tunahitaji type middle na defence big and fast flanks
hatuko vibaya sana kiushambuliaji
Bolin huyoo Sunderland kwa £14m Liverpool wanajadilia kumuuza sasa