Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijui kwanini waswahili hawataki kuamini hili suala

Tuendelee kuelimishana kaka;tutafikia tu muafaka wa kuwa page moja!
Mkuu una habari yyt wa striker wa maana kuja Liverpool na beki 3 tunayehitaji mno kabla ya EPL kuanza?
 
Skrtel nae ana makosa mengi sana!Alitoa bao 2 na Fulham, bao 3 kwa Swansea na bao moja kwa Newcastle!Do not write off Sakho na Agger guys!

Fanyeni uchunguzi games alizocheza Agger na mmoja wao ndiyo nyingi tulipata clean sheet

Agger na Lovren both ni LCB..
 
Skrtel nae ana makosa mengi sana!Alitoa bao 2 na Fulham, bao 3 kwa Swansea na bao moja kwa Newcastle!Do not write off Sakho na Agger guys!
Fanyeni uchunguzi games alizocheza Agger na mmoja wao ndiyo nyingi tulipata clean sheet

Skrtel huwa anafanya faulo nyingi za kipuuzi hasa kwenye kona, sema ana bahati sana marefa huwa hawamuoni.
 
Skrtel huwa anafanya faulo nyingi za kipuuzi hasa kwenye kona, sema ana bahati sana marefa huwa hawamuoni.

Anapenda sana kuvuta jezi kwenye kona!Mm Agger kwangu ni better zaidi lkn nahisi BR hamkubali
 
Tuendelee kuelimishana kaka;tutafikia tu muafaka wa kuwa page moja!
Mkuu una habari yyt wa striker wa maana kuja Liverpool na beki 3 tunayehitaji mno kabla ya EPL kuanza?

Mkuu,sina jipya ndugu yangu! Zaidi naona kocha wetu anaendeshwa na matukio.(anasema anaweza kusajili hata mwezi january akikosa mchezaji sasa)
 
Mkuu,sina jipya ndugu yangu! Zaidi naona kocha wetu anaendeshwa na matukio.(anasema anaweza kusajili hata mwezi january akikosa mchezaji sasa)

January umeachwa points 10+ na mshindi wa 4 huwezi rudi kupata nafasi ya CL!
Anza ligi strong uvune points za awali kabla team hazijaimarika
 
Baada ya usajili wa Lovren mi naona Rodgers anahitaji two staikers basi maana viungo waliopo wanatosha sana.
 
SOUTHAMPTON FC
Shaw
Lambert
Lallana
Lovren
Chambers
Jay Rodriguez & schedarin (reports zinasema wanajoin Spurs)

You can imagine Mashabiki wa So'ton wapo katika hali gani sahiv.

Maskini Southampton wamekuwa shamba la wengine. Haya ndo matatizo ya timu isipokuwa na pesa za kushindana na timu kubwa. Jamaa wangekuwa na pesa wangewatunza kina Garreth Bale, Walcott, Chamberlin plus waliondoka mwaka huu, timu yao ingekuwa kali. kwa mwendo huu Southampton lazima itashuka daraja msimu huu maana nusu ya first eleven yote imenunuliwa plus kocha wao na bado kuna uwezekano kina Jay Rodriguez na Morgan Schedarin wataondoka. Itawachukuwa muda mrefu kujenga timu kama waliokuwa nayo.
 
Mkuu
Wanyama pia anaondoka,teams kadhaa za Italy zinamhitaji
 
Mkuu

Mwanamke anayemiliki Southampton amerithi £3 Billions kutoka kwa Marehemu babaake.
 
Kuna utani sababu za Remy kutoswa

1.Sio mwingereza
2.Hajatoka Southampton
3.Torres aliuzwa akanunuliwa Carol kutoka Newcastle akawa flop,Suarez kauzwa Remy nae last season alichezea Newcastle
 
Last edited by a moderator:
Na kuna yule jamaa Osvaldo nilisikia anatakiwa na timu moja Italy. Inasikitisha kuona wachezaji wote wanaondoka katika msimu mmoja.Faida na hasara ya kuwa na academy nzuri kuliko zote England.

Osvaldo leo kakamilisha mkopo wake kubaki Juventus!Lkn hata kama wachezaji hawa wameondoka Osvaldo hawezi rudi Southampton maana jamaa ingawa ana skills lkn mgomvi sana!

Anaharibu sana dressing room na hata nje ya mitaa ya Southampton kakunjana mashati na mashabiki kadhaa
 
Lovren nilidhani £16m kumbe £20m?
 
Kuna utani sababu za Remy kutoswa

1.Sio mwingereza
2.Hajatoka Southampton
3.Torres aliuzwa akanunuliwa Carol kutoka Newcastle akawa flop,Suarez kauzwa Remy nae last season alichezea Newcastle

sababu za kishabiki sana

kwani borni ni mwingereza??
kwani Remy ni Newcastle player?? he ia QPR player
kwani markovic, Emre, wametoka southampton??
 
Hahahaha!!!!

REMEMBER THIS!!!!!!!!!??????
 
Attachments

  • 1406584279886.jpg
    64.7 KB · Views: 54
Sijui kwanini waswahili hawataki kuamini hili suala
True ila neno Waswahili silipendi watu wameliharibu neno Waswahili limekuwa neno la kwa watu Wenye tabia mbaya,ushamba,na mengi ambayo Mabaya zamani halikuwa Hivyo watu tungejifunza kuliheshimu neno Waswahili Kama mwisho wake ni 90's ila ndio ishakuwa hata Mie najikuta nikimkosoa mtu uswahili huo tehtehteh! Ila kweli naona Remy bado tu watu wamekazania Borini ndio ishapita tena afikirie jengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…