Unataka Rubaman amtafute namna ulivyomtonya hehehehe kweli kuna wanaozaliwa kwenye Ticket ya bahati nasibu na kuna wanaohangaikia bahati nasibu na wanaoshinda bahati nasibu na wanaozaliwa kwenye Hiyo bahati ila kuitumia hawajui yote life 3billion ? Kiasi Yule mkwe wa Mittal wa Kihindi pale QPR akifanye timu Kama yake kaowa mtoto wa Billionea jamaa anashughulika kuliko Fernandes na QPR anamlisha Harry Rekdnapp na Jamie mwanae pesa mchezo.Mkuu
Mwanamke anayemiliki Southampton amerithi £3 Billions kutoka kwa Marehemu babaake.
Hawa bado wapo kwenye radar
Vermaelen
Bony
Lukaku
Lacazette
Ila huyu lacazette ndo anaonekana mbadala baada ya dili la remy ku-fail
Note: Just rumors
Hata mimi wamenstua kwa hili ila inaonekana kwa ajili ya sintofahamu ya uwepo wa AggerHivi Vermaleen wa nini tena wakati tuna Skirtel,Agger,Coates,Lovren na Toure??????
Just asking..
Hivi hatuwezi kumsajili tena Torres....... 20Mil ni bei che sana.....
Sawa na Falcao je... Loan monaco wanataka 10Mil then 35Mil next year.... Atakuwa top player...
Hivi Vermaleen wa nini tena wakati tuna Skirtel,Agger,Coates,Lovren na Toure??????
Hawa bado wapo kwenye radar
Vermaelen
Bony
Lukaku
Lacazette
Ila huyu lacazette ndo anaonekana mbadala baada ya dili la remy ku-fail
Note: Just rumors
Lavezzi ndiyo for sure wana bid leo
Reus anataka kuja maana kaisha waambia BVB kama anataka kuondoka
Hapo sawa ila itakuwa big move kama reus akija maana tatizo langu ni kwamba hata henry ameonyeasha wasiwasi ingawa amempa BR pesa mingi kwa ajili ya usajili maana anajawa na hofu kwamba isije ikawa kama ya Carol, hivyo isije ikawa rumors run afu tuka muona reus kwenye Jersey kit nyingine..!
Reus akija then Lavezi awepo na Moreno mabingwa bila wasiwasi wowote!
My dream team naiona inanukia mkuu maana Reus kawaambia anataka kuondoka na anajua akija anachukua mikoba ya Suarez!
Sioni dalili yeyote ya sisi kumsajili Reus.
Nimeingia Liverpool latest news kaka ipo habari hii!Let cross our fingers mkuu
Unataka Rubaman amtafute namna ulivyomtonya hehehehe kweli kuna wanaozaliwa kwenye Ticket ya bahati nasibu na kuna wanaohangaikia bahati nasibu na wanaoshinda bahati nasibu na wanaozaliwa kwenye Hiyo bahati ila kuitumia hawajui yote life 3billion ? Kiasi Yule mkwe wa Mittal wa Kihindi pale QPR akifanye timu Kama yake kaowa mtoto wa Billionea jamaa anashughulika kuliko Fernandes na QPR anamlisha Harry Rekdnapp na Jamie mwanae pesa mchezo.
Reus akija then Lavezi awepo na Moreno mabingwa bila wasiwasi wowote!
My dream team naiona inanukia mkuu maana Reus kawaambia anataka kuondoka na anajua akija anachukua mikoba ya Suarez!
Me na-countdown time tu nione nahisi hili la reus mwisho wa siku itakuwa disappointed kwetu fans
Halafu kuna taarifa yoyote kuhusu kuleta kipa mwingine? Maana hili wengi kama hawalioni hivi