The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
tuwapeni Torres?:A S wink:
tulifungwa moja bila,mfungaji Daniel Agger,dk ya 90.una swali lingine bro?
Tores sio striker siku hz
leteni hela tuwauzie Lukaku? kuanzia 25M...
Morinyo hawez kukubali kutuuzia sisi.
punguza kiherehere wewe, nasikia mnataka kumsajili john boko.ha ha ha ah.. kipa nambari moja msimu ujao nani?
pia sijui kama mmelitatua tatizo la mabeki wenu...:A S-eek:
punguza kiherehere wewe, nasikia mnataka kumsajili john boko.
kuna striker atakuja liver msimu huu mtashangaa
punguza kiherehere wewe, nasikia mnataka kumsajili john boko.
kuna striker atakuja liver msimu huu mtashangaa
tuwapeni Torres?:A S wink:
Torres kawa beki wa timu zengine ambaye anachezea Chelsea kila saa anaokoa magoli kupatikana zidi ya Chelsea watu inawatokea mara moja moja yeye kibao Anatumia muda mwingi Kuwa na Terry.Huyu mpuuzi aliyekosa goli la wazi na olimpija ljubljana hahahah si bora bahanuzi
Game na Man City saa 8:00 usiku EAT.
Who are we going to sign instead?