huyo ni A LSAAF?...Mmebebwa 😀 !!!
Lampard hakustahili RED card,... Gerrad previously alifanya same tackle hata yellow hakupewa...
Bosingwa ndiye aliyestahili RED.
...halafu huo mchezo wenu wa kumcheka mtu mzima, mtaota kisunsua jichoni!
AW mshambatiza jina la MR BEAN? wabaya sana nyinyi...ha ha ha...
tuchonge mwanewane tuchonge!!!walituzogoa sana tulipokua tunatoa draw!!haya who's Next!!Tores kashachonga miguu na sasa ni nyavu kwenda mbele!!Here we come!!
unajua hata kama yumo mechi imeshaisha na ushindi tumepata!!mbona wakati tukilalamika sisi mlikua hamtusapoti??game na wigan au everton gerrad katandikwa ngapi na adhabu hazikutolewa??mengine hayo yanakua kama kelele za mbu hazimsumbui alie ndani ya chandarua!!!Twende mbele turudi nyuma! Gerrard nae yumo kwa diving...
unajua hata kama yumo mechi imeshaisha na ushindi tumepata!!mbona wakati tukilalamika sisi mlikua hamtusapoti??game na wigan au everton gerrad katandikwa ngapi na adhabu hazikutolewa??mengine hayo yanakua kama kelele za mbu hazimsumbui alie ndani ya chandarua!!!
...SCOLARI keshanyolewa, BANITEZ aanze kutia maji!
...SCOLARI keshanyolewa, BANITEZ aanze kutia maji!
umesahau EL NINO!!Guyz....
Mko kimya sana, hivi zile radi za Torres [Tsumani, Torrential, Torrefic] mnaziona?
Av. Goal/Minutes na Goal/attempts zinatisha
Mh... Sina hakika kama Benitez will be sacked, i think he will walk out. haya ya Scolari kayataka mwenyewe, kufundisha CHelsea ni sawa na kuoa changu ukitegemea atabadilika. Hata kama anakupa flavor gani [millions of quids]... mwisho wake unakua karibu sana
Seven points behind, 12 games to go. Benitez hatosign extension ya contract kama mambo yakiwa si mambo by mid April.