Naona defence ya Liverpool itakuwa tight msimu huu. BR anaendelea kufanya vitu vizuri.
Timu ipo vizuri ila tunahitaji msaidizi wa kueleweka wa sturridge. Misuli huwa inamweka nje mara kwa mara. We need consistencyAkija Moreno hata asipokuja Lavezzi LIVERPOOL mabingwa!!
Bao la 4 la Liverpool sijapata liona kwenye soka la miaka hii,huwa naona bao kama hili kwenye FIFA play tu