Inasemekana Martin Skirtel amefurahi sana kucheza along Dejan Lovren coz wanaelewana vizuri maana wanatoka ukanda mmoja wa East Europe na wanajuana kwa ishara.
Lucas akiondoka kwenda Napoli basi kuna uwezekano mkubwa Daniel Agger akachukua nafasi yake na kuwa DM.
kwani lipoje mkuu...me nafatilia updates hapahapa
Halijapata kufungwa bao kama hili kwa kweli!Zimepigwa pasi nyingi sana hadi Courtihno akamzunguka keeper lkn keeper hakumpa upenyo so akaitoa kwa nje upande ungine kwa Sturridge ambaye nae akawatoka mabeki 2 kwa pembeni akaitoa tena kama V basi Hendo aka slot home the winner!
Nilishangilia mno kama tu FIFA play station!!
ni kweli mkuu kuhusu Manquillo anaonekana wa ukweli ila Mie new sign ukiwaacha Lovren sababu namjuwa sana na najuwa alivyotulia miguu yote hao wengine hata Manquillo sitoongea sana Tusubiri tuwaone EPL game Kama 5 alafu ndio tu hukumu wa kweli au uozo ila kwa macho kaonekana ndio ila shughuli zikaanza ndio tutajuwa zaidi.I expected Lovren to shine... he is a younger Agger even his moves and his positioning, just like when Agger was AGGER... we still need Agger anaweza kucheza namba sita na namba tatu pia
My best surprise ni Manquillo... He played as a winner, hatukupata presha kabisa kwenye ile nafasi yake, alidhibiti game vizuri sana
Hongereni wadau, hili jukwaa limenivutia sana kama mshabiki nguli wa Liverpool. Ni moja kati ya jukwaa linalojadili mambo ya liverpool kwa undani bila kuingilia club zingine. Kwa kweli nimejifunza mengi sana ndani ya jukwaa hili. Aluta continua
Hahahah!!!
LFC removing picture of Luis Suarez on the Anfield Poster..
WHAT THE F*K TOOK THEM SO LONG?????
Teh mkuu walijisahau kidogo ila hatukuachana kwa kukunjiana ndita so haina nooma sana!
the only concern ni lambert tu, the rest are brilliantni kweli mkuu kuhusu Manquillo anaonekana wa ukweli ila Mie new sign ukiwaacha Lovren sababu namjuwa sana na najuwa alivyotulia miguu yote hao wengine hata Manquillo sitoongea sana Tusubiri tuwaone EPL game Kama 5 alafu ndio tu hukumu wa kweli au uozo ila kwa macho kaonekana ndio ila shughuli zikaanza ndio tutajuwa zaidi.