Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi Sturrige ndio anaongoza mashambulizi ya Liverpool mwaka huu?? Nina wasiwasi na wachezaji wengi wa uingereza..inconsistency....•
 
Nimesemajeeeeee Handerson akiamka timu itaamka nimetaka kusema Huyu Raheem akate nywele zake tu kapiga bao LFC 1 Southampton 0 We Go Again LFC YNWA!
 
karibu sana mkuu!
Tunaangalia mpira, tunatathimini, tunahoji na kushauri bila jazba, matusi, kejeli na dharau kwa wachezaji wetu na wapinzani wetu pia ili kuendelea kujenga taswira nzuri ya timu yetu.

YMWA

Shukrani tuko pamoja
 
refa anatizama makosa yetu tu Betrand alitakiwa Yellow hajampa We Go Again LFC YNWA! Hata akitupa Red Leo
 
Manquillo katafunuwa sana dogo napenda hairuhusu cross kuingia ila asipoangalia Huyu Refa atampa Red
 
Lucas so Poor anawaacha kati watu wafanye wanavyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…