Achana nae huyo jamaa,unapoteza muda wako bure.
Wewe mkuu Magnificent ni wa kusema hivyo kunihusu mimi?
Ok; najua sasa..maana yake nini maneno yako kusema aachane na mimi..hamtaki wageni hapa kwenu?
Mkuu agosti 8 acha hizo bhanaa...mambo ya mpira kwani huyajui?
Hapa unakaribishwa sana tuuu...distractions and vijimambo ndiyo raha ya mpira…
...ehe ehe ehe ehe ehe eheee...jana naona mlikuwa mnachapa viboko maiti…ehe ehe ehe ehe ehee…
pamoja mkuu osokonoi, msalime Mosdef naona yuko bize kutafuta dawa ya kumfunga MAN CITY jumatatu ijayo..ha haha ha..:wacko::wacko:
Hongereni ndugu zetu!
Gerrard Stats Vs Southampton:
Total passes 70
Passing Accuracy 89%
Passes per minute 70
Total crosses 3
Chances created 1
Tackles won 100%
Kuna Stats za SG za msimu uliopita nilishawahi kuzitoa humu, so sina haja ya kuzirudia..
Kocha amekupa role ya kucheza katika "deep cover" kwa ajili ya kuwalinda mabeki, asa quick intechangable passes za nini??(fernandinho and now Reges, Raul wa ATM, Motta wa PSG, Etc), si nao wangekuwa wanapiga hizo interchangable passes??..SG anacheza mbele ya DL na MS, kazi yake ni kutoa cover kwa centre backs na kuhamisha mipiri ili kuutanua uwanja na kujenga vyumba vya kucheza kwa nafasi, leo ilikuwa ngumh kwa sababu lucas naye alikuwa anarud nyuma sana (he's not good going foward)..na kumwacha Hendo peke yake kupokea mipira ya SG..Baada ya kuingia ALLEN, akatoa nafasi ya SG kufunguka zaid, coz Allen anajua jins ya kuUnlock mids za opponents kwa pass fupi fupi, hii pia ilitoa nafasi zaid kwa Hendo kurudi katikati na kuisqueze midfield ya Southampton, na hapo tuliona SG akiwa anaenda mpaka mbele..mfumo wa 4-2-3-1 tuliucheza Last season kwenye baadhi ya match na haukowork out, ni kama kwenye game against Norwich City away, where SG na Lucas walicheza pamoja (haikufanikiwa kabisa)..
A deep mid, unataka awe anakimbia kimbia ili iwaje??..Wakati kazi yake ni kuvunja Connection ya Attacking threats za opponents dhind ya backline yake..na kama umeangalia mpira leo, Southampton walikuwa wanatumia sana kupita pembeni kuliko katikati, (hata goal lao limetokea pembeni)..
SG hachezi namba 10 no more au hachez kwenye free role no more, YUPO kwenye DM sahiv..
Me huwa sifati mawazo ya wazungu hata siku moja, coz naungalia na naujua mpira pia (hao hao wazungu unaowafatilia kwenye hizo forums ndo walioponda sana usajili wa Danny na Coutinho( tena walkuwa wanasem coutinho ni UNKNOWN)..hao hao ndo walikuwa wanamtukana Henderson kila siku kwenye mitandao yao..na hao hao ndo walikuwa wanaponda sana usjili wa Lallana..na hao hao ndo walikuwa wanaponda kuwa £20m kwa LOVREN ni nyingi..
Na kama umeangalia mpira leo, GJ na LUCAS ndo walikuwa wanaua moves zote za LFC, Walikuwa wakipata mipira wanapoteza, na hata ukiangalia Stats zao HAWAJAFANYA HATA TACKLE MOJA..so badala ya kumlaumu Lucas aliyekuwa mzigo leo, unakimbilia kumlaumu SG, kapoteza mpira gani leo??..
mbona hawasemi kuwa kuwa BR anampendelea sana RS kwenye Kikosi??..mbona yupo Biased kuhusu RS, how can u play A natural number 10 coutinho wide na kumuacha RS acheze katika free role ambayo ilimfanya akae nyuma ya ST, Na wote tumeona jinsi Coutinho alivyokuwa Poor leo, lakini kuna mzungu gani kamtukana phill leo, kwasababu wanajua ni kwa nn!!!
Countiho anaproduce more akiwa katikati, nyuma ya ST, na Danny alikuwa isolated leo kwasababu hizo hizo, RS ni mzuri akikaa kwenye wings, PC ni mzuri akiwa nyuma ya ST coz ni creative mid, anajua kumchezesha ST..4-3-2-1, haiwez kufanya kazi kama kwenye bench una Lucas na Allen tu..unahitaj mtu kama Lallana na Can ndani..na unapocheza 4-2-3-1 lazima umdrop either PC au RS kama AL akiwa fit..
Hahahahah!!!..
na hapo ume-mdrop MS..
unajua kwamba natural side ya Lovren ni LCB?? na ndo huicheza kwa ufasaha sana kuliko RCB??..asa kwann umapatine na LCB mwenzake Sakho??..(wakati RCB yupo fit??)..
Martin Skritel kacheza vibaya leo!!!!???
Sterling hayupo tayari kucheza kama winger ndo maana anachezeshwa kati kati. Nafasi ya wing tumsubiri Markovic tuone itakuaje.Mechi nyingi anazocheza Coutinho nyuma ya Straika huwa ana perform vizuri sana, na game nyingi anazocheza pembeni huwa anaharibu sana, sasa sijui kwa nini BR huwa hauoni hili na jana hakutaka hata kumjaribu kubadili namba hadi anamtoka. Na kingine Henderson huwa mzuri zaidi akiwa kati, pamoja na jana kupelekwa pembeni amecheza vizuri sana.
Ndio ameitwa kucheza na USA!Nimesikia cotinhno ameitwa kwenye kikosi cha brazil ambacho kipo chini ya dunga.from untrusted source.anyone to prove it.
Ndio ameitwa kucheza na USA!
Samahani masahihisho ni ameitwa game kucheza VS Colombia na baadae Ecuador kwenye kikosi cha Brazil ambacho Dunga kawatema nafikiri Dante,Alves na PoulinhoNdio ameitwa kucheza na USA!
Nimesikia cotinhno ameitwa kwenye kikosi cha brazil ambacho kipo chini ya dunga.from untrusted source.anyone to prove it.
True ila pia misafara hii wachezaji wengi timu za Taifa tena misafara Mirefu Mie sipendi game wanachezea United States bora zingekuwa game zao Europe!Very good.....he gonna increases his level of confidence.
J3 mbali mungu akituweka hai Jumapili kidogo nitajuwa kikosi ila Lucas asiwepo awepo Emre Can pale kati na ni kweli muhimu nikuwapeleka mbio tu Freekick kibao zitawatokea ila kati tumbo tuwe wakali na Hendo awepo kati nimeona Yaya Toure kidogo bado hajarudi mwili wake umekuwa Mzito Cake za Waarabu kala nyingi itachukuwa muda apungue hata Ricky Lambert anatakiwa apungue.Nimeangalia mechi ya Man City Vs Liverpoolfc ya msimu uliopita pale Etihadi nimegundua njia nzuri ya kuwafunga hawa wajinga ni kuchezi mpira wa kasi tu.
Sasa kazi kwake BR kwenye team selection ya cku hiyo.
Naomba mkuu Pazi na Blac Kid pangeni kikosi cha jumatatu kwa kuzingatia mapungufu ya Man City!!!!
Mie nafikiri LFC Tupo mbali sana kwa sasa ku fight top 4 kwa mpira wa Juzi tunafurahi na kushukuru tumeshinda ila tunatakiwa tubadilike Middle zilikuwa hazielewani aliyecheza vizuri ni Dejan Lovren na Dejan Lovren japo na kucheza vizuri ukiitizama highlight za Dejan Lovren vs Southampton utaona alivunja sheria nyingi za LFC alikuwa akipiga mpira wa kuunyanyua kupeleka wing za pembeni ilikuwa rahisi Southampton kuelewa na kuamua kuvunja Nguvu za LFC sehemu za wing, ndomana Winger za LFC hazikukimbiza zaidi ya hapo Lovren kuna baaazi ya Game ndio inavyotakiwa afanye Hivyo kupiga tu Mbele, Mie sipendi kuona beki akimrudishia sana Mignolet! So kina Skertel watajifunza mengi kwa Lovren, LFC Middle zikiweza kutulia na kupiga Pasi inavyotakiwa ndio tutaenda mbali ila kwa Game ya Juzi Tupo mbali sana hata Top 5.
Hongera ya nini mkubwa?
Wewe mkuu Magnificent ni wa kusema hivyo kunihusu mimi?
Ok; najua sasa..maana yake nini maneno yako kusema aachane na mimi..hamtaki wageni hapa kwenu?