Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


We'll Be outplayed na midfield ya man city..kwenye game ya man city vs Newcastle, Reges aliwin tackle zote alizofanya..so i'd put Allen or Can ili kuboost the mid..

MARKOVIC, ndo kwanza anatoka majeruhi, afu bado hajafanya debut yoyote..so sizan kama itakuwa wise kumuanzisha..afu ukizingatia ni game ngumu na ni Away..

The same to Moreno, bado hajasettle vizuri kwenye club, and game ya Man city ni ngumu sana kumtambulisha mapema..sitopenda lakin nadhan we'll be forced kumuanzisha GJ tena...

Hope we'll play *diamond formation*..Coutinho behind RS and DS upfront..
 

Imekaa poa sana, vp inamaana markovic amepona na atakuwa fit kwa ajil ya gemu ya mancity?
 

Markovic bado hana match fitness maana alikuwa majeruhi. Kwa mechi ngumu kama ya City Allen anatakiwa aanze maana ana uzoefu na EPL na ameshapasha misuli tangu pre-seasson. Markovic labda aingie kama badae
 
Kijana wetu Origi anafanya vizuri huko Ufaransa. Kashaanza kutupia nyavuni kwenye mechi ya juzi.
 

Kidogo naona umenishawishi kuhusiana na kutomuanzisha Markovic....maana ni kweli ametoka kua majeruhi.....ila anaweza kuanza first half maana ana uzoefu wa kutosha na big games......Kuhusiana Na Moreno......huyu lazima aanze jamani..... Frankly speaking jamani GJ hayuko vizuri kivile anaweza kutusababishia balaaa kubwa baadae tukajuta.Moreno anauzoefu na big match na mech ya Man city ndio itakua debut Test yake.....
 
Looks like we want Ballotel On Loan..

Hope it happens..

Why on loan? Hatuna pesa za kumsajili au tunam test kwa mwaka mmoja kama atatufaa? Huwa sipendi sana biashara za mikopo, zinanyima sana nafasi za wacheji wetu kucheza.
 

EPL ni tofaut sana na Ligi za Portugal na Spain..ukiachana na ufitness wa mchezaji, pia confdence inahitajika pia..

MANQUILLO, ile game ya Dortmund ilimpa.kujiamini sana..Moreno bado, kafanya mazoezi kwa siku 3 tu na team..na leo yupo Spain, kaenda kuaga rasmi..nadhani tukimrush tutajuta aisee..lazima apate some confdence kwanza...i'd start him against spurs lakin syo Man city..(labda ntampa dk 15 za mwisho)..nadhan flanno angekuwa fit ndo angeanza na Manquillo, sahiv bora acheze GJ kuliko JE, JE bado hayupo fit kabisaaa..(katoka kwenye majeruhi ya msimu mzima)..

Markovic nadhan atacheza dk za mwisho lakin sidhan kama ataanzishwa hiyo j3..

Nadhan ulimuona Sanchez kwenye game ya crystal palace alivyokuwa anababaika (EPL ni ngumu sana mkuu)..BR anajua kutuliza presha ya wachezaji sana, u can see kwa coutinho mpaka kusettle kwake alikuwa anamwingiza dk15 za mwisho kwenye games kama 2-3 hiv, mpaka dogo akazoea presha ya EPL..

Mtu kama Lallana ataingia moja kwa moja tu, coz amecheza sana EPL, the same kwa LOVREN and Lambert..Manquillo ile game ya Dortmund ilimjenga sana, na ile ya Uwanja Mzima KUSIMAMA na Kumpigia makofi wakat anatoka ilimpa morali na nguvu sana, vitu ambavyo Moreno na Markovic wanavihitaji sana..
 
Hey reds vp maendeleo na matumaini ya majeruhi wetu Flanagan, Agger na lallana make naona comment za wadau hapa kuhusu Markovic naona anaendelea poa.
 
Nimeona kama tume offer Pound 17.6 mil???

Nah!!!..nadhan LFC wants him on Loan na Pesa juu kidogo..ni kama ile ishu ya Sahin..

But lets wait n' see

Nmeona DiMarzio wa sky italia anasema Baloteli alikuwa na kikao cha mda mrefu sana na Agent wake jana Usiku..na ishu ya kwamba we want him on loan imereportiwa na Media outlet inayomilikiwa na Berlusconi(m-miliki wa AC milan)
 
Why on loan? Hatuna pesa za kumsajili au tunam test kwa mwaka mmoja kama atatufaa? Huwa sipendi sana biashara za mikopo, zinanyima sana nafasi za wacheji wetu kucheza.

Nah..i think BR wants him on loan, Ikitokea analeta ujinga wake, We can get rid of him ASAP..

I think Logic ndo hiyo..
 
Falcao is the least likely player to join Liverpool

Falcao and Cavani won't join, forget about them, Falcao is to expensive for a season loan deal, and demands 200k a week, which Liverpool won't pay, plus he has a knee problem, Cavani always wanted Suarez out of Liverpool for a "bigger club" why would he join us, plus PSG will probably want atleast 40mil for him, and he isn't woth that much for sure, and his wage demands are like 250k a week, which is mad.

Ballo is young and if dealt with in the right way, can be one of the best in the world, he really is the best option we have.
 
hahahahahaha! TEXEIRA the next coutinho! Yuke dogo ni hatari sana...he is super talented...nimeiona hiyo ya jana!

Huyu dogo hua anamaumivu ya mgongo (back pain) ya mara kwa mara, Mungu amajalie aondokane na hayo maumivu.....otherwise is a future talent.
 
ChairMan wa Stoke City, Peter Coates anasema deal la Assaidi limekufa!!!!..

Dah!!!..Assaidi bhana, asa LFC pale atacheza wapi??..
 
makorvic na steling kwa pamoja labda ingekuwa tunacheza na aston villa,lakn kwa aina ya viungo wa man city anaitajka jembe lingine hapo katikat,lalana was best one sema injuries tuu znamsumbua.
 
We're Defo' in For MARIO BALOTELLI

GET THE F*KN IN SON!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…